Honourable Bernard Kamilius Membe, former Minister for Foreign Affairs and International Cooperation of the United Republic of Tanzania

Dotto C. Rangimoto

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
1,986
1,282
Huyu ndio Membe: Kachero, mwanadiplomasia nguri na mwanasiasa anayempa tumbo joto Magufuli.

IMG_20200715_211008.jpg
IMG_20200715_211011.jpg
 
kawa mdogo kama mtoto juzi ukimwona,yaani kwa picha ile anaonekana ana stress sana ya kutoswa na chama nguli.huko ACT kaenda zuga tu.
 
Hana lolote hiyo.

He is so very overrated. And even worse, he overrates himself.

Mfupa uliomshinda fisi, mbwa hatauweza. Kuna wakati failure inaonekana mapema kabla hata mambo hayajaanza.
Shida yake kubwa anahisi ni lazima apewe namna fulani ya kutambuliwa kama na yeye yupo. Cheo, mamlaka or something. Sijui law kitu gani anastahili hayo
 
Huyu jamaa yuko vizuri sana, wengi walikuwa hawamfahamu vizuri, lakini Interview anazofanya hivi karibuni zimedhihirisha kitu kimoja. Jamaa yuko njema sana upstairs.

Inaonekana misimamo yake ya kuchukia uonevu, kutaka utawala wa sheria, demokrasia, kuzingatia haki za msingi za wananchi na kukipa kipaumbele kilimo ni misimamo sahihi sana, na hivyo ni vitu vikubwa tunavyovikosa katika utawala wa awamu hii.

Membe can make a very good president!
 
Huo uonevu ulikuwepo tangu alipokuwa wazir wa mambo ya nje..mbona hakuinua kinywa chake..hujui historia wewe naona..hana lolote huyoo..na ww usiwe unashibikia bila kuchunguza historia ya mtu..huyoo n uchu wa madaraka unamsumbua tu
 
Unalinganisha uonevu unaofanywa na serikali hii na ya awamu ya nne dhidi ya wapinzania na wakosoaji?

Hii imezidisha!
 
Misile humjui membe kama mimi
2014 tuliwahi zungumza na alikuwa something lkn sasa n nathing ndiyo maana nilieleza mahali "membe andaa 2025 hii 2020 si yako haikufai"

Binfasi na vijana kadhaa tumeandaa kitu ambacho kinaweza badili siasa yetu hivyo kinahitaji kuungwa mkono na kundi kubwa na ndiyo kazi tunayotaka tumkabidhi membe 2020-2025
Licha ya membe kuwa asset n2015 bado hakuwa kama lowasa aliyewekeza ndani na nje ya ccm 2012-2014 ndiyo maana alikuwa maarufu

Membe anayo nafasi hata 2030 hivyo kuandaa ni muhimu kuliko kuparamia kama alivyofanya lowasa kwa ukawa na ndiyo maana licha ya urais kukosa hakuna impact kubwa nyingine kwa vyama

Urais ni strategies tena longterm

Believe or not but
Utanipa ushuhuda
 
Unalinganisha uonevu unaofanywa na serikali hii kwa wapinzania na wakosoaji na ile ya awamu ya nne?
Hii imezidisha!
Mkuu..uonevu n uonevu tuu..pamoja na kwamba haukuwa mkubwaa..lakin hakupaswaa akae kimyaa kwa vyovyote vile..mana alikuwa kwenye nafasi kubwaa sana..
Waswahl tunasema ukiona mtoto kaiba finyango moja ya nyama leo..unapaswaa kumchapa kwel kwel..ili tabia ya udokozi isiongezeke..kesho anaweza kuibaa hela au kitu kingine zaid ya finyango..uovu unapaswaa kukemewa ukiwa hata n mdogo..
 
2025 ilikuwa bingo kwa Membe, hapa kafuka labda kama analo lake jingine!
 
Huu unaitwa uchangudoa wa siasa...Hiyo CV akaombee kazi UN sisi wananchi asitugawe ili kutimiza malengo yake kisiasa, Kwanza huyu bwana si mvumilivu na wanaompa kiburi wanamtumia tu kwa malengo yao! Akagombee mtama huko ajue CCM ina wenyewe na kwamba uasi wake ndani ya Chama hakuuanza leo...
 
Hivi Tanzania inaongozwa na CV ndefu ya Mtu kama hii au ni Uwajibikaji na Uthubutu tu wa Mtu katika Kuwaletea Maendeleo lukuki Watanzania?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom