HONGO DAKIKA ZA MWISHO - Salakana Moshi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HONGO DAKIKA ZA MWISHO - Salakana Moshi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Eeka Mangi, Oct 28, 2010.

 1. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Naaam leo hii,,, leo jioni Mgombea wa ubunge Moshi Mjini ndugu Salakana amepita kwenye baadhi ya maofisi na kugawa fedha. Mojawapo ni kampuni maarufu ya utalii hapa Moshi. Taarifa za ndani ya ofisi hiyo zinasema kuwa walipewa shs 2000 kila mmoja ila jamaa mmoja cha pombe aliyeanza kuongea pumba kwa mgombea huyo alipewa msimbazi moja. Sasa jamaa kahamia Njoro na Majengo ananunua mbege na dadii zote kwa wanywaji wote. Amini usiamini hafui dafu. Pia habari za sasa hivi mgombea mmoja wa udiwani ndg mangia amefunguliwa kesi ya kushambulia kwenye kituo cha kati cha polisi kwa kumshambulia kiongozi mmoja wa Chadema.
  CCM bye bye Moshi hawakubaliki. Kesho naja na za JK moshi maana anakuja tena huku.
   
 2. m

  marijanda Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndo za ccm dk za mwisho huwa huwa rubuni maskini watanzania kwa ajili ya maslahi ya wachache
   
Loading...