Hongereni wananchi wa Kilimanjaro na Iringa kwa kutokomeza kipindupindu

mokala1989

JF-Expert Member
May 4, 2013
2,236
728
Waziri wa Afya, mheshimiwa Ummy Mwalimu ameutangazia umma wa watanzania kuhusu hali halisi ya kipindupindu nchini na kuainisha kuwa mikoa ya Kilimanjaro na Iringa ndiyo mikoa pekee hadi sasa iliyofanikiwa kudhibiti ugonjwa hatari unaosababishwa na uchafu, Kipindupindu.

Mikoa mingine tuna kikubwa cha kujifunza hapa.
 
Back
Top Bottom