Hongereni Wanahabari wote wa Tanzania, naona sasa mnaanza kuwa na "Akili"!

JK kajenga UDOM, kajenga taasisi ya magonjwa ya moyo, kajenga Hospitali ya mloganzila wala hakuweka majiwe ya msingi kwa mbwembwe hizi. Nimeshangaa sana Jana, yaani uzinduzi wa hosteli unawaleta bongo movie? Yaani ukimtegemea division 0 atazidi kukuvua nguo daima
 
Sisi wananchi atuangalii kama JPM ameandikwa au hakuandikwa gazetini.Ameonekana au hakuonekana kwenye TV. Tumempa nchi kwakuwa ni mtendaji mzuri na kazi zamikonoyake ndio zimemfikisha hapo, tumeona kazizake akiwa serikalini kwa miaka 20.
Kama kuandikwa JPM tumemwandika kwenye mioyo yetu. Magazetini mwandikeni Fisadi maMvi na chama chake alicho nunua. JPM piga kazi tukutane 2020
 
Nyie endeleeni kujisifia tu, ila dawa yenu ipo jikoni. Siku moja Mtajua nan Rais na nani Raia.
Na ipo siku Raisi ataujua umuhimu wa Raia na kua msikivu kwa Raia tunamngoja 2020 dereva asiyependa kusikiliza kelele za aliyempa kazi ya udereva
 
Na ipo siku Raisi ataujua umuhimu wa Raia na kua msikivu kwa Raia tunamngoja 2020 dereva asiyependa kusikiliza kelele za aliyempa kazi ya udereva
Nkumbushe 2020 kuna nini ?
kama unaongelea uchaguzi mkuu, hilo sahau
 
Wuza unga na wakwepakodi utawajua tu,mijitu haina shukrani mlitaka kila pahala aende?
 
Nyie endeleeni kujisifia tu, ila dawa yenu ipo jikoni. Siku moja Mtajua nan Rais na nani Raia.
Acha mikwara Wewe watu wangekuwa awafi ningekuelewa lakini kama wote tunakufa acha kiburi chakooo.... Kama uhai ungekuwa unauzwa naakika kuna watu wangekuwa na jeuri Sana...
 
Back
Top Bottom