Elections 2010 Hongereni wana Rombo kwa kummwaga Mramba

Kwa mujibu wa matangazo ya moja kwa moja toka Bongo radio tayari Mramba keshapigwa chini kule Rombo...
 
Nimesikiliza kwenye redio kwamba habari hii imeshathibitishwa na NEC. Fisadi njeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Hii ya mwaka huu si kawaida ni mapinduzi ya nguvu ya PEOPLES POWER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Aluta continue!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mpaka ushindi upatikane
 
Acheni Mungu aitwe Mungu. Watanzania tumelia sana. Ukombozi ni huu. Asanteni sana watu wa Rombo. Kitaeleweka tu mwaka huu. Tutalia kwa furaha
 
Kweli hata mimi nimesikiliza kwenye redio, NEC imethibitisha. Chali!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Kwa taarifa ya Bongo Radio Basil ameshindwa na jimbo likwenda Chadema najaribu kufuatilia habari zaidi na hii imeshathibitishwa na NEC.
 
Tupe angalau data chache kwa ukamilifu, angalau kwa kituo kimoja
 
Habari za uhakika nilizozipata sasa hivi ni kwamba Mramba kaangushwa na mgombea wa Chadema huko Rombo... Nitathibitisha soon bado nafuatilia vyanzo vingine..
 
Wasilete mchezo kwa watanzania Hivi walifikiri nini walivyokuwa wametuonea kiasi kikubwa namna
 
mwaka huuu wa ajabu kweli, sikutegemea Mramba kushindwa, kaaaaaah, nani atashinda tena? maana anafedha kibao bado chali mmmmmmmmmmmhhh pipoooooooozzzz poweeeeeeeeeeer, DR SLaaaaaaaaaaaaaaa ni Silahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kali
 
Jamani kama huna takwimu mi naona ungekaa kimya tu ili wenye nazo ndio watangaze.
 
Acheni Mungu aitwe Mungu. Watanzania tumelia sana. Ukombozi ni huu. Asanteni sana watu wa Rombo. Kitaeleweka tu mwaka huu. Tutalia kwa furaha

well said my dear....hakuna siku hata moja giza litaushinda mwanga
 
Back
Top Bottom