Hongereni Usalama wa Taifa (TISS) kwa kuwa Imara kwenye uvujaji wa taarifa

Tutashtskiwa na kupelekwa miga tukanyolewe, tume za kuchunguza madini zimedanganya, wazungu hawawezi kuja , tra wamekurupuka na deni hata cnn wanashangaa, hata tukilipwa 500m wapo wajinga watashangiria.

My opinion: kwa kuwa hawashondwi la kuropoka na kudandia hoja nyengine na kuisahau iliopita, hawa watu ni wa kupuuzwa waache watu wafanye kazi.
 
Taasisi hii kwa Sasa imeimarika zaidi compare na awamu ya nne.
Awamu ya nne Siri za serikali zilivuja Sana, hivyo kuharibu michakato mingi ya serikali na kuvipa umaarufu Baadhi ya vyombo vya habari.

Lakini kwa Sasa hakuna uvujaji wa habari hovyo toka Ikulu. Ndo sifa kuu ya taasisi hii.
Kitendo cha Kamati ya mazungumzo baina ya serikali na Barrick kutofahamika mpaka sasa, ni dalili tosha ya kuimalika kwake.

Hatua hii iendelee kuimarishwa zaidi
Hongereni Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Sikatai TISS kupongezwa ila wakupongezwa zaidi ni Raisi Magufuli mwenyewe

Moja: Kwa kuwadhibiti watendaji wake na waikulu kwa ujumla, enzi za Jakaya walio kuwa wakivujisha siri ni watendaji wake walewale na wafanyakazi wengine wa ikulu

Mbili: Kwa kuwatoa kabisa Ikulu wafanyakazi mamluki
 
Taasisi hii kwa Sasa imeimarika zaidi compare na awamu ya nne.
Awamu ya nne Siri za serikali zilivuja Sana, hivyo kuharibu michakato mingi ya serikali na kuvipa umaarufu Baadhi ya vyombo vya habari.

Lakini kwa Sasa hakuna uvujaji wa habari hovyo toka Ikulu. Ndo sifa kuu ya taasisi hii.
Kitendo cha Kamati ya mazungumzo baina ya serikali na Barrick kutofahamika mpaka sasa, ni dalili tosha ya kuimalika kwake.

Hatua hii iendelee kuimarishwa zaidi
Hongereni Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Saafi sana!
 
timu ya mamvi imetolewa yote pale TISS ndo walikuwa wanavujisha sana siri za serkl
kiukweli kuna ka improvement Fulani hivi japo bado awamu ya NNE TISS Walikuwa wakitoa info govt haizifanyii kazi na ikapeelekea kuvujisha ili whistle browsers wapige kelele ... awamu hii zinafanyiwa kazi...
 
Siri zinatoka tena sana ila watu hawana pahala pa kusemea..... Hakuna bunge live pia hakuna mikutano ya hadhara.
 
Back
Top Bottom