Uchaguzi 2020 Hongereni Tume ya Taifa ya Uchaguzi

Nilidhani una akili kumbe huna wewe ni mpumbavu sio mjinga weww ni mpumbavu yan🚮🚮🚮🚮unaongea nini 🚮🚮🚮
 
Ukiwa unaishi kwa kutumia Akili za polepole ni vigumu kumuelewa, utakuja kumuelewa siku ukiamua kutumia Akili zako binafsi kuishi
Ninatumia akili zangu binafsi na ndio maana sishabikiii siasa kama wajinga wajinga wengi humu mlioshikiwa akili na wanasiasa.
 
Nchi ina miaka 59 hakuna maendeleo licha ya kuwa na rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani, kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri kuliko mataifa yote mikubwa Duniani na pengine ingekuwa na kura ya veto, chini ya CCM Nchi imefirisika pesa nyingi zinatumika kwa mambo ya hovyo yasiyo na tija kwa Taifa ikiwemo kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu mateso ya kila aina, hawataki maendeleo na hata huto tumaendeleo kiduchu twa SGR bwawa la umeme flyover ununuzi wa Ndege ni 10% zao na kuna ufisadi mkubwa na tenda nyingi ni kampuni zao wenyewe na pindi wakilipwa pesa inazunguka inamrudia kaburu Mkoloni mweusi kwa njia moja au nyingine, CCM ni ile ile ukoo wa panya baba mama mtoto wote ni wezi
Ukienda mbali zaidi utakuja kugundua kwamba sisi sote Ni waafrika akili na mawazo yetu hayatofautiani sanaa.!
Hivyo basi Chadema, cuf ccm tlp hata wakishik dola Leo usitegemee utofauti mkubwa.

Kikubwa kwa awamu hii tumuangalie jamaa anafanya nn, je tumpe 5 tena au vipi!?
 
Nikikuuliza NEC imetumia vigezo na utaratibu upi kupanga majina ya vyama na wagombea kwenye karatasi ya kura unaweza kutolea ufafanuzi?
Ukiwaweka nyati na ng'ombe pamoja unaweza ukashindwa kuwatofautisha lkn ukiwatenganisha ndo utaweza kuwatofautisha.

Nafikir hapo ni busara tu imetumika ili kulahisisha kutenganisha hawa fahari 2.

Hata wewe assume u atafuma sentensi, Sasa hiyo sentensi ikiwa katikat ya sentensi nyingine na ikiwa mwisho na ukaambiwa utaikuta mwisho, huoni is much better kuliko kuwa ktkt mpaka utumie miwani.!
Mi naona Ni advantage kwa Chadema pia kuwa mwisho kuliko kuwa katikat.
 
Ukiwaweka nyati na ng'ombe pamoja unaweza ukashindwa kuwatofautisha lkn ukiwatenganisha ndo utaweza kuwatofautisha.

Nafikir hapo ni busara tu imetumika ili kulahisisha kutenganisha hawa fahari 2.

Hata wewe assume u atafuma sentensi, Sasa hiyo sentensi ikiwa katikat ya sentensi nyingine na ikiwa mwisho na ukaambiwa utaikuta mwisho, huoni is much better kuliko kuwa ktkt mpaka utumie miwani.!
Mi naona Ni advantage kwa Chadema pia kuwa mwisho kuliko kuwa katikat.

Mkubwa, haya ni mambo ya kitaalam. Yana utaratibu na kanuni zinazotawala, unaweza kuishia kusema busara itumike kila jambo ukajikuta unaingiza taifa matatizoni.

Ndio maana unaisifia tume.
 
Kuna kikundi kidogo cha wajinga ambao wapo tayari kudangwa kwa siasa za maji taka mfano wakati mh.Rais Magufuli akisisitiza kuwa WE ARE IN THE RIGHT TRUCK wao wakasema hawajui JPM analipeleka wapi taifa.
WE ARE IN THE RIGHT TRUCK...na.kweli we are in the right truck! Unaweza kudhani Magufuli mwenyewe kaandika Kiingereza hiki lakini hamna taabu mzee wa FENT FORD! Je unajua hilo truck linakowapeleka Watanzania?
 
Tume ya Uchaguzi imefanya kazi kwa ueledi

Ila CHADEMA wanaogopa kushindwa ndio maana wanatoa shutuma za uwongo ili kuwadanganya wafadhili wao
Mpaka tunavyoongea wagombea wa upinzani wameenguliwa tena kwa hila za hiyo tume. Na mpaka sasa kuna walioshinda rufaa lakini hawajapewa barua ya kushiriki kampeni. Machafuko tu ndio njia pekee ya kurekebisha huu uhuni wa tume ya uchaguzi.
 
Mkubwa, haya ni mambo ya kitaalam. Yana utaratibu na kanuni zinazotawala, unaweza kuishia kusema busara itumike kila jambo ukajikuta unaingiza taifa matatizoni.

Ndio maana unaisifia tume.
Tunajaribu kuelimishana ili ikiwezekana tuondoe fujo/kulipeleka taifa kubaya na vinyongo visivyokua na sababu za msingi.!

Ifike sehemu tuamin ukishindw Ni kweli umeshindwa, na ukipata basi Ni halali yako upate.!
 
No. Mjomba, haya yanatoka moyoni si kwa ushawishi wala kigezo Cha kujua kusoma na kuandika.

Fuatilia vzr mfumo wa uchaguzi hasa wa mwaka huu utajifunza kitu kizur Sana!
Hivi nyinyi hamuoni au ndo elf 2 na njaa zeno, Kuna kitu mnafanywa itakuwa- yani bogus kabisa
 
Inaendesha uchaguzi ambao chadema kwa kuridhika na weledi wake mmeshiriki. Hamjasusia uchaguzi kushinikiza ifanyiwe mabadiliko

We dogo unachekesha walionuna, kushiriki ni kuridhika na tume? Ngoja watu waingie barabarani kama hamtanyoosha maelezo.
 
Watanzania tuache siasa za zaman kushabikia ujinga tu, JK nyerere hakutufundisha ivo ila sikuizi watu hunukuu yale yanaowafaa tu mengine wanachama sababu yanatofautiana na actions zao. Tubadilikeeeeee
 
Ccm hovyo kabisa, hata sasa tunsona upendeleo wa wazi kwa ccm kutoka vyombo vya dola ikiwemo nec
 
Back
Top Bottom