Bouja
Senior Member
- Mar 19, 2019
- 173
- 127
lkn kweny izo point kuna mchango Wa yanga Wa 2yrs before co cmba pekeakeSimba imeiheshimisha nchi sana like always, tuwakie kila la heri
lkn kweny izo point kuna mchango Wa yanga Wa 2yrs before co cmba pekeakeSimba imeiheshimisha nchi sana like always, tuwakie kila la heri
lkn kweny izo point kuna mchango Wa yanga Wa 2yrs before co cmba pekeake
Home?
Point 3 miaka yote ile mnajiita wakimataifa ?? Yaani nyie Vyura msingetakiwa kabisa kuongea lolote khs Simba mmelitia doa soccer la bongo kimataifaNa points za Yanga zimechangia kuwa hapo..acheni uselfish
Eti miaka 2 point 3 hawa vyura ni laana tupuPoint 3 miaka yote ile mnajiita wakimataifa ?? Yaani nyie Vyura msingetakiwa kabisa kuongea lolote khs Simba mmelitia doa soccer la bongo kimataifa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio laana! Angalau wameongeza hizo 3 kuliko ingekuwa 0. Ni wakupongeza
Unaongea umama...waulize wenzako wanaojuwa ..Yanga kuingia makundi CAF confederation mara mbili ..hata Kenya wangetupita...siku nyingine kuwa na adabu..Points gani kwa mfano? Kugongwa na Lipuli au?
Fair play hatupulizi rungu vyumbani..unaweza kuuwa watu