GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,544
- 108,869
Nitoe tu pongezi zangu za dhati kabisa kwa Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuamua kabisa bila kushinikizwa na Mtu yoyote kumteua Bwana Hassan Abbas kuwa Msemaji wake na pia kuwa ndiyo Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Maelezo.
Kwa sifa alizonazo Msomi huyu wa Shahada ya Juu kabisa ya Uzamivu ( PhD / Doctor of Philosophy ) Hassan Abbas ni dhahiri kabisa kwamba ataisaidia mno Serikali katika kutekeleza kile inachokitaka hasa katika suala zima la Kuwahabarisha Watanzania juu ya mambo mbalimbali.
Hizi Sifa alizonazo naamini akiendelea nazo Dkt. Hassan Abbas atakuwa mahiri sana katika nafasi yake ya kuwa Msemaji wa Serikali na Mkurugenzi wa Habari na Maelezo kwani anaziweza na anazitendea haki mno kila anapoitisha Press Conference zake:
Ama hakika ' TUNATEKELEZA ' kivitendo.
Nawasilisha.

- Anacheka cheka pasipo hata kuchekeshwa na Mtu yoyote
- Anaogopa kuulizwa maswali mengi na magumu na Waandishi wa Habari
- Anachagua Waandishi wa kumuuliza maswali
- Hajiamini na muda mwingi anababaika babaika hivi kama mtu anaetaka kukimbia
- Anaharakisha Press Conference imalizike ile akapumzike Ofisini
- Anajibu maswali magumu na nyeti sana Kiuwepesi mno
- Hana taarifa za kutosha juu ya yale anayoyaamini na anababaisha mno kimaelezo
Ama hakika ' TUNATEKELEZA ' kivitendo.
Nawasilisha.