Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,207
- 4,702
Mungu ni mwema na sasa zile vita baina ya koo za Ndugu zetu zimekoma. Naambiwa hata matukio ya wizi wa ng'ombe yamepungua sana.
Naambiwa hata visa vya kupiga wenza wao pia vimepungua. Naambiwa hata visa vya watu kukatana mapanga vimepungua. Tuzidi kuwaombea waendelea kuishi kwa Amani kama vile Jamii nyingine Nchini Tanzania
Wazidi kupendana na kushirikiana huku wakivumiliana kwani wote ni ndugu. Shukrani kwa Ushauri uliotolewa na Wadau mbalimbali nchini na nje ya nchi kwa hawa Ndugu zetu
Aksanteni Sana Wadau kwani hekima zenu zimezaa matunda