Hongereni Madiwani Wa Ngorongoro Mungu awazidishie Nguvu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongereni Madiwani Wa Ngorongoro Mungu awazidishie Nguvu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jasho la Damu, Jul 19, 2011.

 1. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Napenda kutumia jukwaa hili kuwapongeza kwa dhati Madiwani wa Wilaya ya Ngorongoro kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kutetea maslahi ya wananchi hasa kwa kuwabana Wakuu wa Idara wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro. Madiwani hawa kwa pamoja wakiongozwa na M/kiti wa Halmashauri wameonyesha Uhai Mkubwa wa kupambana na Umangimeza, Ukabila pamoja na Ukiritimba uliokithiri katika Halmashauri hiyo. Siloma na Kileo ninyi ni damu changa kati ya madiwani hao tunaomba Muelekeze nguvu katika kutetea Maslahi ya Wananch
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  where is the fact
   
 3. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Ninawaomba pia muwe mnatafuta maoni kutoka kwa watumishi wasiokuwa Wakuu wa Idara hasa waliopo makao makuu ya wilaya maana sisi ndio tunaofahamu dili na manyanyaso yote yanayofanywa na Wakuu wa Idara na baadhi ya Watumishi wa Idara kama ya fedha. Tuko tayari kuwapa information zote. Kwa pamoja tuijenge Ngorongoro.
   
 4. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  tupe story ilikuaje basi nasi tufahamu chanzo cha hizo hongera kemkem
   
 5. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  I cant figure out bcoz can nt be solidfy.
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  don't raise your voice,prove your statement!
   
 7. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Madiwani hawa wameweza kuibua hoja mbalimbali zinazohusu matumizi mabaya ya fedha hivyo wametoa tamko la maazimio la kuwasimamisha kazi baadhi ya watumishi endapo watashindwa kutoa majibu ya msingi ya hoja hizo mpaka ifikapo 25 july, 2011.
   
 8. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Where should I go to prove it for u? Huku kwetu hakuna media yoyote zaidi ya social network kama hizi ndo maana hawa jamaa wakawa wanafanya wanavyotaka..
   
 9. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  basi ndugu unapotupatia mambo ya huko kupitia social network kama JF jitahidi sana kuwa brief and precise, watu wapate concept na kuchangia kwa upana. Hao madiwani ni wachama gani? huo muda waliotoa hadi July 25 c ndio jamaa watachakachua wizi huo ionekane ni matumizi halali? otherwise hongera sana. hivi huko ndo iliko Samunge?
   
 10. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Madiwani ni wa Magamba lkn wanaonyesha wamechoshwa na matendo wanayofanya Wakuu wa Idara. Samunge ndiko iliko haswa.
   
 11. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Siajabu unajipongeza mwenyewe, Inawezekana umepewa Posho
   
 12. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #12
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kama Akili zako ndo zinavyokutuma inawezekana ni kweli.
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  @Mimi Mmasai, ingekuwa vizuri kama ungetoa picha halisi ya jambo/mambo yanayoendelea huko Ngorongoro. Kwa jinsi ulivyoandika ni vigumu sana kwa mtu/watu wa nje kama sisi wanaJF kujua nini kinaongelewa na hao madiwani unawapongeza kwa kufanya nini? Vuta pumzi then uandike story nzima.
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  tupe facts... isije ikawa wewe mwenyewe ni diwani wa huko
   
 15. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  sawa Siloma na Kileo tumewasikia kwa sauti zetu tunasubiri mlichofanya sasa.
   
 16. k

  kipuyo JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Hatujakuelewa mkuu!Baraza la madiwani lililopita limewaazimia kina nani?una uhakika watafanikiwa?
   
 17. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kipuyo I am sure u hv whole story I dnt know y ask lyk someone very strange at NDC.
   
 18. k

  kipuyo JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 515
  Trophy Points: 280
  Mkuu najua Halmashauri yako haijulikani sana hivyo inakubidi unapoileta taarifa yoyote uilete ikiwa imebeba kila kitu ili uweze kupata maoni mbalimbali ya wadau tofauti.Taarifa yako ingeeleweka vyema kama ungeweka vikwazo/ matatizo yaliyopelekea maamuzi unayoyadai yamefanywa na waheshimiwa wako hao.
  so weka nyama taarifa yako.
   
 19. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  OK ngoja niwape full data sasa.
  Maamuzi hayo ya Baraza la Madiwani yalifikiwa baada ya Mhasibu wa wilaya(District Treasurer) kushindwa kuonyesha mapato ya fedha zinazokusanywa kutoka katika geti la Engarasero ambalo watalii wengi hufika hapo kwa ajili ya kupanda mlima Oldonyo Lengai na Kuona Ziwa Natron. katika kuibua ubadhirifu wa Mhasibu huyo timu ya kuibua vyanzo vya mapato vya halmashauri iligundua mapato hayo hukusanywa bila ya kuorodheshwa kwenye Ledger Book na kupelekwa kwa Mhasibu huyo. Sasa mmen
   
Loading...