Hongereni Kenya Air force- S Sudan

Jumong S

JF-Expert Member
Jul 3, 2013
7,312
10,492
Tumeshuhudia raia wa Kenya waliokwama ktk mapigano huko S. Sudan wakirudi Kenya kwa ndege yao ya kwanza nyeupe ya Air force. Je, Tanzania imechukua hatua gani kuwanasua waTz waliokwama huko? Je, utamtambuaje Mtanzania halisi bila kitambulisho cha uraia? Tafadhari viongozi wetu,jifunzeni toka kwa wakenya!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Ndo maana kukawa kuna vitu kama Passport any way nashindwa faham au kuelewa mpaka sahiv kwanini serikali haijaamua chochote wala sijasikia chichote ka vile hakuna wa tz south sudan
 
Tumeshuhudia raia wa Kenya waliokwama ktk mapigano huko S. Sudan wakirudi Kenya kwa ndege yao ya kwanza nyeupe ya Air force. Je, Tanzania imechukua hatua gani kuwanasua waTz waliokwama huko? Je, utamtambuaje Mtanzania halisi bila kitambulisho cha uraia? Tafadhari viongozi wetu,jifunzeni toka kwa wakenya!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Usitegemee la maana toka kwa comedian membe..yupo yupo tu hata hajiekewi
 
Back
Top Bottom