Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 49,016
- 54,299
NakaziaWeka picha tuone...
NakaziaWeka picha tuone...
Asante na Shukran tuko pamoja Mkuu.Critical Thinking.... Kongole kuliona hili...
Nikiwa sebleni kwa shemeji yangu na king'amuzi ameshakilipia huku na subiri dada apike ugali na nyama nile..we unalipa kodi gani ya kufanya Nchi ikaachana na kugharamia Jeshi Marekani na Utajiri wake wote ana Military Base dunia nzima we umeamka hata hujui utakula nini leo unajifanya umeridhika na amaniMatumizi mabaya ya Kodi zetu,ukiimarisha demokrasia na ujirani mwema uhitaji kupoteza kodi kugharamia jeshi.
Yafaa nini mtu hadi anastaafu ajawahipiga hata risasi
Unakula vizuri,unalala kwa amani,unakunya..then unakuja kutoa pumba zako hapa,tunakulinda ndo maaana unapata nguvu ya kuandika hapa.Ni 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania.
Pia ni 'Ndege Vita' nzuri mno ambazo nina uhakika nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi na Msumbiji hawana na kamwe hawataweza Kuthubutu kuwa nazo kwani wanaotakiwa ( wanaopaswa ) kuwa nazo ni Tanzania na Watanzania tu pekee.
Kwa Kumalizia ni 'Ndege Vita' ambazo zitafanya matatizo makubwa Matatu ya Ujinga, Maradhi na Umasikini kumalizika kabisa Tanzania huku zikisaidia pia katika Kuondoa Ufisadi na kutufanya Watanzania tuache Kuhangaika 'Kuzurula' hovyo Ulaya kwenda Kuomba Pesa za Misaada.
Ni 'Ndege Vita' za Miaka 60 ya Uhuru.
Sawa Afande Zuzu ( Juha ) nisamehe tu.Unakula vizuri,unalala kwa amani,unakunya..then unakuja kutoa pumba zako hapa,tunakulinda ndo maaana unapata nguvu ya kuandika hapa.
Nishakusamehe...toka unagraduate SAUT 2009...ukiishi darfur.Sawa Afande Zuzu ( Juha ) nisamehe tu.
Wakati mwingine tier tunafikiri na kudadavua kwa akili pevu badala ya kukurupuka tu na kushadidia mambo ambayo hatuna upeo nao wa kina.Ni 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania.
Pia ni 'Ndege Vita' nzuri mno ambazo nina uhakika nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi na Msumbiji hawana na kamwe hawataweza Kuthubutu kuwa nazo kwani wanaotakiwa ( wanaopaswa ) kuwa nazo ni Tanzania na Watanzania tu pekee.
Kwa Kumalizia ni 'Ndege Vita' ambazo zitafanya matatizo makubwa Matatu ya Ujinga, Maradhi na Umasikini kumalizika kabisa Tanzania huku zikisaidia pia katika Kuondoa Ufisadi na kutufanya Watanzania tuache Kuhangaika 'Kuzurula' hovyo Ulaya kwenda Kuomba Pesa za Misaada.
Ni 'Ndege Vita' za Miaka 60 ya Uhuru.
Wata kama hao ni wa kuwapuuza tu kwani hawajui mawiwo wala machweo yao!Kwa hiyo uimara wa majeshi ya nchi za magharibi ni kwa sababu hawajaimarisha demokrasia?
Lakini pia kwanini tunapenda exclusivity?
Kwamba hatuwezi kuwa na ndege za kivita kwa sababu shule za msingi hazina matundu ya vyoo?
Au hatuwezi kununua ndege za ATCL kisa kuna wilaya hazina hospitali za wilaya?
Sekta haziingiliani saana.
km nzuri zitakuwa F-35 hizoNi za aina gani?
Marekani ina bajeti kubwa ya jeshi si ndyo mnawaita baba wa demokrasi.Matumizi mabaya ya Kodi zetu,ukiimarisha demokrasia na ujirani mwema uhitaji kupoteza kodi kugharamia jeshi.
Yafaa nini mtu hadi anastaafu ajawahipiga hata risasi
Shangaa mkuu, watu hawajui kuwa jeshi ndiyo siri ya uchumi bora wa taifa lolote!Marekani ina bajeti kubwa ya jeshi si ndyo mnawaita baba wa demokrasi.
Kugharimia jeshi ktk nchi ni jambo la lazima
Ni 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania.
Pia ni 'Ndege Vita' nzuri mno ambazo nina uhakika nchi kama Kenya, Uganda, Rwanda, Zambia, Malawi na Msumbiji hawana na kamwe hawataweza Kuthubutu kuwa nazo kwani wanaotakiwa ( wanaopaswa ) kuwa nazo ni Tanzania na Watanzania tu pekee.
Kwa Kumalizia ni 'Ndege Vita' ambazo zitafanya matatizo makubwa Matatu ya Ujinga, Maradhi na Umasikini kumalizika kabisa Tanzania huku zikisaidia pia katika Kuondoa Ufisadi na kutufanya Watanzania tuache Kuhangaika 'Kuzurula' hovyo Ulaya kwenda Kuomba Pesa za Misaada.
Ni 'Ndege Vita' za Miaka 60 ya Uhuru.
Watu wameweka sana nyuzi humu wakilalama kuhusu Shenyang F7 na zile MiG kuwa ni za kizamani ila umekuja ujio mpya bado tu sasa sijui wanataka nini?Mnataka jeshi lisifanye mazoezi ya utayari?
Hao hao silaha mpya zikinunuliwa mnalalamika, zikioneshwa zile kongwe mnalalamika!
Wachieni wenye kazi zao wafanye, kuna watu wako bize kulinda anga lenu wakati mpo baa mnagombania wahudumu.
Jeshi bila mazoezi ya utayari ni sawa na kikundi cha wacheza ngoma tu!
Mungu libariki jeshi letu ( JWTZ),
Kapunguza pumbaLeo umeandika mada nzuri sana.
Tungeuza hii midude pesa tushughulikie mambo mengine kwanza ipo outdatedNi 'Ndege Vita' nzuri sana tena za Kisasa kabisa Rangi ya Udongo ambazo zitasaidia mno Tanzania kuwa juu Kiuchumi, Maji kutopungua Mto Ruvu na hata Umeme kutokatika hovyo Tanzania.