Hongereni China sisi Tanzania, hatuna viongozi wala chama cha kuipigania Tanzania kimaendeleo

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,227
16,178
Nitoe pongezi kwa chama cha kikomunisti cha China na viongozi wake huwa nasikia kuumia sana pale ninapogundua mwaka 1977 China na Tanzania tofauti yao ilikuwa ndogo sana
Wapiga kura wa Nchi hii mtalaumiwa sana na vizazi vijavyo kuendelea kuchagua chama ambacho hakiifikirii Tanzania
Screenshot_20181022-200844.jpg
 
CCM ndio chama pekee ambacho kimefanikiwa kumfikia mwananchi wa chini kabisa kila eneo kikipaza sauti kumtetea. Sasa Kuna vyama vingine hata baadhi ya maeneo bado havijafika

Cha msingi kwa Wana CCM ni tuunge mkono mabadiliko yatakayokwenda kutokea hivi karibuni
 
Ccm ndio chama pekee ambacho kimefanikiwa kumfikia mwananchi wa chini kabisa kila eneo kikipaza sauti kumtetea.sasa Kuna vyama vingine hata baadhi ya maeneo bado havijafika
Cha msingi kwa Wana CCM ni tuunge mkono mabadiliko yatakayokwenda kutokea hivi karibuni
Huyu mwananchi wa chini hali yake kiuchumi ikoje mkuu
 
Nitoe pongezi kwa chama cha kikomunisti cha China na viongozi wake huwa nasikia kuumia sana pale ninapogundua mwaka 1977 China na Tanzania tofauti yao ilikuwa ndogo sana
Wapiga kura wa Nchi hii mtalaumiwa sana na vizazi vijavyo kuendelea kuchagua chama ambacho hakiifikirii Tanzania View attachment 907460
Wewe unacholaumu ni nini?
Unalaumu chama? Au unawalaumu watanzania?
Wewe ulitaka achaguliwe kiongozi yupi mwenye mipango ya kuweze kuifikisha Tanzania ilipofika China?

Je katika africa kuna nchi yoyote iliyosawa na China kiuchumi?
Je wewe umegundua tatzo ni Tanzania tu?
Ukipewa nafasi ya kulisukuma gurudumu hili utafanya planning gani ili kuukuza uchumi Wa nchi hii?

Wakat mwingne acheni kulialia tu..
Chukua mfano mdogo tu.
Je wewe uchumi Wa familia yako uko sawa na majirani zako? Wamekuzidi?au umewazidi?

Kama wamekuzidi unamlaumu nani kwa kuwa na uchumi Wa hali ya chini?
 
Nitoe pongezi kwa chama cha kikomunisti cha China na viongozi wake huwa nasikia kuumia sana pale ninapogundua mwaka 1977 China na Tanzania tofauti yao ilikuwa ndogo sana
Wapiga kura wa Nchi hii mtalaumiwa sana na vizazi vijavyo kuendelea kuchagua chama ambacho hakiifikirii Tanzania View attachment 907460
Hebu acheni kupotosha watu toka hiyo miaka ya sabini unajua bajeti ya mwaka ya china ilikua ni sh ngap na Tanzania sh ngapi ukishajua ndio ulete uongo wako hapa
 
Hahaha Mbongo banah anataka Tanzania Vs China..!!!! Eti mwaka 1977 tofauti ilikuwa ndogo..! hivi hujui kuwa Reli ya Tazara ilijengwa na Mchina mwaka 1970-1975? Sawa na Kenya usikie kisa katuzidi kidogo atufadhili mradi wa Reli yenye Km 1860 zaidi ya USD $ 406 Million.

Halafu China usiilinganishe na Tanzania! Nchi ya pili kwa uchumi duniani unailinganisha na nchi sijui ya za two digit! serious jamani!
 
Ccm ndio chama pekee ambacho kimefanikiwa kumfikia mwananchi wa chini kabisa kila eneo kikipaza sauti kumtetea.sasa Kuna vyama vingine hata baadhi ya maeneo bado havijafika
Cha msingi kwa Wana CCM ni tuunge mkono mabadiliko yatakayokwenda kutokea hivi karibuni
Ungeni mkono tu, kila aungaye mkono anatoka chama pinzani na kujiunga nacho, kwa gharama ya mabilioni. Wenzetu mabilioni Wanafanya ya maana.
 
Ccm ndio chama pekee ambacho kimefanikiwa kumfikia mwananchi wa chini kabisa kila eneo kikipaza sauti kumtetea.sasa Kuna vyama vingine hata baadhi ya maeneo bado havijafika
Cha msingi kwa Wana CCM ni tuunge mkono mabadiliko yatakayokwenda kutokea hivi karibuni
CCM hi hi inayotupora Bata na kuku wetu Kama no adhabu ya kutochangia mbio za mwenge?
CCM hi hi inayotupora maeneo yetu ili wajenge mradi wa umoja wa vijana wa maegesho ya magari makubwa?
CCM hii hii ambayo imeharibu mfumo wa elimu na kutengeza wahitimu wasio na elimu ila vyeti.
CCM ni Chama Cha Mazezeta
 
Back
Top Bottom