hongereni benki ya Posta kwa kufungua Tawi lenu Jipya - KiGAMBONI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hongereni benki ya Posta kwa kufungua Tawi lenu Jipya - KiGAMBONI

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Changamoto2015, Oct 23, 2012.

 1. C

  Changamoto2015 JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Oct 1, 2012
  Messages: 758
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Benki nyingi zilidharau eneo hili kiuchumi. Huenda kwa kujipa moyo kwmba ni jirani na maeneo ya posta yalipo makao makuu ya benki nyingi. Lakini kigamboni ni sehemu unique iiyotakiwa iwe na matawi ya benki hasa kutokana na kadhia zilizopo kwenye kuvuka upande wa pili kufuata huduma za kibenki.
  Nawashauri benki ya posta wajitahidi kuboresha huduma zao na hasa za ATM waone ni jinsi gani watakavyofanya biashara na watu wa kati na chini walio wengi maeneo ya kigamboni.
   
 2. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Kwani benki ya posta bado ipo na ina wateja? Mi mara ya mwisho kutumia bank hii ni zile enzi za TMO wakati tunasoma huko kwetu
   
Loading...