Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,745
Natoa pongezi za dhati kwa kufanikiwa kupata submarine cable ambayo itafungua kituo kipya cha habari za internate na vile vile imesemwa kuwa hata mashuleni wataweza kupata huduma za mtandao bure kutokana na nguvu za kituo hicho ambacho kitakuwa kitovu cha kuunganisha mitandao kwa East Africa na duniani kote kwa spidi kali, sina zaidi ila ni furaha tupu.