Hongera Zanzibar!

MzalendoHalisi

JF-Expert Member
Jun 24, 2007
4,432
1,180
1. Thursday's Zanzibar became the first team to qualify from Group C after beating Ethiopia 3-1.

2. Rwanda 9 Jibuti 0
 
nnaipongeza kwa moyo wangu wote zanzibar heroes au mashujaa wa zanzibar


mola atujaalie tulitwae kombe hilo la challenge ili iwe zawadi njema ya kuanza vyema mwaka 2008 na uwe wa mafanikio kwa kila kitu zanzibar.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom