Hongera Waziri Ummy Mwalimu kwa mkakati mpya wa kupambana na COVID19

@

Sky Eclat sidhani kama unahitaji kujua idadi ya wagonjwa wa Malaria au STD, same goes to COVID19. Kuhusu oxygen ni sawa, maana huo ni mkakati.

Kwa kukataa kwako kupata taarifa inaonyesha ni jinsi gani wewe sio mtu wa kutaka kujua na kujifunza, nakushaurii usome ujue tofauti ya epidemic, world epidemic, pandemic.
 
Omba msamaha faster, nakuona unavyohangaika, very soon naanika uchafu wako. Kama hatuna briefing ya maambukizi ya HIV basi si muhimu covid19
Mjinga wewe naushauri tu ukasome uelewe tofauti ya epidemic, world epidemic na pandemic. Ujinga ni ugonjwa.
 
No: 6 Wagonjwa wenye dalili ndogondogo waruhusiwe kwenda nyumbani kwa maelekezo ya wataalam . Kuwaweka caranteen ni kuzidi kuhatarisha afya zao.
 
Ukichanganya kilichozungumzwa hapo utaona bado kuna tatizo. Mengi ni kutibu na machache ni ya kujikinga. Na bado hatujaoneshwa mashine ngapi za usaidizi wa kupumua zinahitajika na zipo ngapi.

Utoaji taarifa sahihi pia halijazungumzwa
 
Simfagilii ZZK lkn kumbe kasema kweli mnawachakataji nane tu.mwezi mzima mlikua mnasubiri nini kuwatrain wengine. Hyo mafunzo yatachukua muda gani mpk hao wachakata majibu waweze kufanya bila makosa??? Hichi kikao kilitakiwa kukaliwa wiki tatu zilizopita kuweka mikakati. Hovyo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe, hicho kikao kilipaswa kufanyika December 2019 au January 2020. Pia wizara ina muongozo wa risk ila sijui kwa nini haukufutwa
 
Taarifa sahihi za nini???? Kwenye kujikinga hapo ok
Hili ni janga sio kama magonjwa ya kila siku. Wanaougua na kufa ni wengi kwa sababu ya serikali yako inayokulipa kupiga propaganda hapa kuficha taarifa kwa wananchi.
 
Bado mpo kwenye mikakati. Kumbe uwezo wetu wa kukabiliana na huu ugonjwa ni mdogo. Kwanini hamukuchukua hatua kali za kuudhibiti tangu mwanzo?.
Hata marekani ugonjwa ulivyoingia walikuwa na ventilators chache. Baadae ndio zikaongezeka. Walikuwa na wodi na vitanda vichache hadi wakachukua meli ya navy kuigeuza wodi. So usibeze kwa sababu we ni rangi nyeusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom