BenyRugakingira
New Member
- Oct 27, 2010
- 3
- 0
Nimara yangu ya kwanza kujitambulisha naomba wanajamii mnipokee jamani.Benedicto Rugakingira niko Barrick.
Barrick.....specifically wapi........??? Buzwagi, Kahama Gold Mine, Musoma...??? Isije ikawa tuko wote uliko.............. Nishakaa Kakola sana tuNimara yangu ya kwanza kujitambulisha naomba wanajamii mnipokee jamani.Benedicto Rugakingira niko Barrick.
Mimi niko Tarime kama nawe ni miner tunaweza kuwasiliana hapa Nyamongo.Great thinker hebu leta hbr.unaonaje hiyo ndoa ya mjengoni haitaua upinzani?Barrick.....specifically wapi........??? Buzwagi, Kahama Gold Mine, Musoma...??? Isije ikawa tuko wote uliko.............. Nishakaa Kakola sana tu
Anyway karibu Jamvini kama ni mara ya kwanza...........Maana kuna wengine ni kanzu mpya lakini shehe ni yule yule