Kitendo cha wasimamizi wa uchaguzi kuchelewesha vifaa vya kupigia kura kwenda vituoni kimetoa faraja kwa Ukawa kushinda baadhi ya maeneo kiurahisi mno.
Kila mtu anafahamu fika kwamba ccm wateja wao wengi ni wazee , na kimsingi wazee hao waliwahi sana kuja vituoni kuanzia saa 12:00 asubuhi kitendo cha vifaa kuchelewa na baadhi ya maeneo vilifika saa 4-5 asubuhi wazee wengi hawakuweza kuvumilia hadi muda huo na kuamua kuondoka huku wakiwaacha vijana wakisubiria vifaa.
Kwa mfano huku kwetu wapo vijana waliokuwa wakiwashauri hao wazee waende nyumbani wakapumzike kwani zoezi likianza watawaita ,kumbe ilikuwa mbinu ya kuwaondo kituoni ili kupunguza kura za ccm.
Najua Wakurugenzi haikuwa nia yao ila kwa sababu ilikuwa mpango wa Mungu ndio maana naamini kwamba Mungu aliwapa uzito na uchovu watandaji hao ili lengo litimie .
Kweli nimeamini chadema huwa wana anza na Mungu na kumaliza na Mungu