Hongera Wahitimu wa Kwanza UDOM

Kishongo

JF-Expert Member
May 4, 2010
932
64
Kwa niaba ya Watanzania wote wapenda maendeleo na wazalendo wa kweli, Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa wahitimu wote wa kwanza wa UDOM.

Tunaamini kuwa mtatoa mchango mkubwa katika kuendeleza nchi yetu kwa kutumia taaluma mliyopata. Nawatakia kila la heri.

Wapuuzeni wale wote wanaokiponda chuo chetu, yachukulieni mawazo yao kama kokoto.

Kwa wanafunzi mnaoendelea na masomo, ongezeni bidii katika masomo. Endeleeni kuwa na moyo wa uzalendo kama mlivyodhihirisha katika tamko lenu dhidi ya kitendo dhalimu cha baadhi ya wabunge waliotoroka kazi.

Kidumu Chama cha Mapinduzi!

Zidumu Fikra Tukufu za Rais wetu JK.

Mapinduziiiii ..... Daimaaaa!!!
 
????????????????????????
 
Kweli kabisa, tuwape hongera za dhati kabisa hawa vijana. Mungu awasaidie katika maisha yao ya usoni, wanaotaka kuendelea kusoma awabariki kwa kuwafungulia kila jema na watakao amua kuanza kucharika kwa kazi nao pia wabarikiwe kwa kila la kheri kwenye maisha yao.
 
Back
Top Bottom