Katika dunia ya sasa ambapo kwa sehemu kubwa tunahitaji simplicity nawapongeza Vodacom M-Pesa kwa kuachia API zao za M-Pesa ili developers mbalimbali kuweza kutengeneza products ambazo zitakuwa na uwezo wa kulink na huduma za M-Pesa bila longo longo au procedures nyingi.
Sasa ni wakati wetu developers wa TZ kuweza kutumia hizi fursa kujiongezea kipato kwa kuleta solutions kwa mahitaji ya jamii
Sasa ni wakati wetu developers wa TZ kuweza kutumia hizi fursa kujiongezea kipato kwa kuleta solutions kwa mahitaji ya jamii