Hongera Vodacom M-Pesa kwa kuleta Open API - Fintech developers tutumie fursa

This is so wonderful news.I have been coding a system ambapo natakiwa ku incorporate payments online basi nikawa navurugwa kabisaa kila nikiwaza urasimu wa kuanza kufuatilia na kupata API kwa ajil ya hii kitu.
Ahsante kwa taarifa hii naona kwangu imekuja muda mahsus kabisa.

Please nisaidie mwongozo wa ku utilize hiyo kitu.
Natanguliza shukran
 
Ingia M-Pesa Developer Portal then jisajili as developer, document yao iko very clear na rahisi
 
Hivi hakuna hata project moja ambayo iko tayar inatumika iliyotengenezwa kupitia hii API?
 
Back
Top Bottom