Hongera viongozi wa CHADEMA, CCM walitaka kupoka hoja yenu ya Mikataba.

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,802
48,947
Kumekuwa na juhudi za makusudi kutaka kuwaaminisha Watanzania kuwa wapinzani wanatetea wezi wa Madini wakati walioshirikiana na wezi wanajulikana wakiwemo Wabunge wa CCM waliopitisha sheria mbovu kwa kura za NDIYO. Tume ya rais imewaumbua.

Jana MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Profesa Abdallah Safari amempongeza rais JPM na kumfananisha na Rais wa Kwanza wa Ghana, Kwame Nkrumah na Waziri Mkuu wa Kwanza wa Congo (DRC), Patrice Lumumba kutokana na juhudi binafsi anazofanya kutetea rasilimali za nchi.

Wakati huohuo Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema ambaye pia alikuwa mgombea urais UKAWA, Mh. Edward Lowassa amesema, juhudi zinazofanywa na rais ni za kuungwa mkono na Watanzania wote, akaongeza kuwa anachofanya rais ndicho alichokuwa anakihubiri kwenye kampeni, ila akamshauri pamoja na mazuri anayofanya kiungwana anatakiwa kuwaomba radhi Watanzania kwa niaba ya chama chake CCM kwa kusaini mikataba mibovu ya kinyonyaji.

Kila mtu anajua CHADEMA/UKAWA, Lissu, Mnyika, Zitto ndiyo wenye hoja yao tangu mwanzo, CCM na washangiliaji wao Team Makinikia walikuwa wamedandia treni kwa mbele.

Naomba kuwaambia wanaCCM wote sasa tulieni kimya watetezi halisi wa Madini wameamua kujitokeza, mnachotakiwa ni kutubu badala ya kuendelea kujifanya mna uchungu na madini wakati mliyagawa wenyewe.

Hongera viongozi wa CHADEMA, tunaomba viongozi wengine zaidi wajitokeze ili kuwafundisha CCM maana halisi ya uzalendo usioyumba.
 
Wakati huohuo Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema ambaye pia alikuwa mgombea urais UKAWA, amesema juhudi zinazofanywa na rais ni za kuungwa mkono na Watanzania wote, akaongeza kuwa anachofanya rais ndicho alichokuwa anakihubiri kwenye kampeni, ila akamshauri pamoja na mazuri anayofanya kiungwana anatakiwa kuwaomba radhi Watanzania kwa niaba ya chama chake CCM kwa kusaini mikataba mibovu ya kinyonyaji.

Kila mtu anajua CHADEMA/UKAWA, Lissu, Mnyika, Zitto ndiyo wenye hoja yao tangu mwanzo, CCM na washangiliaji wao team Makinika walikuwa wamedandia treni kwa mbele.

Ukweli kabisa na usiopingika kuwa Rais kwa juhudi zake binafsi aliliona hili lakini sio CCM kama chama.
 
Attachments

  • 20170613+112330.mp4
    4 MB · Views: 37
Kumekuwa na juhudi za makusudi kutaka kuwaaminisha Watanzania kuwa wapinzani wanatetea wezi wa Madini wakati walioshirikiana na wezi wanajulikana wakiwemo Wabunge wa CCM waliopitisha sheria mbovu kwa kura za NDIYO. Tume ya rais imewaumbua.

Jana MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Profesa Abdallah Safari amempongeza rais JPM na kumfananisha na Rais wa Kwanza wa Ghana, Kwame Nkrumah na Waziri Mkuu wa Kwanza wa Congo (DRC), Patrice Lumumba kutokana na juhudi binafsi anazofanya kutetea rasilimali za nchi.

Wakati huohuo Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema ambaye pia alikuwa mgombea urais UKAWA, amesema juhudi zinazofanywa na rais ni za kuungwa mkono na Watanzania wote, akaongeza kuwa anachofanya rais ndicho alichokuwa anakihubiri kwenye kampeni, ila akamshauri pamoja na mazuri anayofanya kiungwana anatakiwa kuwaomba radhi Watanzania kwa niaba ya chama chake CCM kwa kusaini mikataba mibovu ya kinyonyaji.

Kila mtu anajua CHADEMA/UKAWA, Lissu, Mnyika, Zitto ndiyo wenye hoja yao tangu mwanzo, CCM na washangiliaji wao team Makinika walikuwa wamedandia treni kwa mbele.

Naomba kuwaambia wanaCCM wote sasa tulieni kimya watetezi halisi wa Madini wameamua kujitokeza, mnachotakiwa ni kutubu badala ya kuendelea kujifanya mna uchungu na madini wakati mliyagawa wenyewe.

Hongera viongozi wa CHADEMA, tunaomba viongozi wengine zaidi wajitokeze ili kuwafundisha CCM maana halisi ya uzalendo usioyumba.
 
In CCM au upinzani tunachohitaji ni masuala yenye tija kwa taifa letu yaweze kujadiliwa kwa kufuata kanuni na misingi bora
 
Hahahahaahah CCM akili zao wanazijua wao wenyewe
kama jana nimeshangaa sana kauli ya Spika Ndugai, eti nyie mnaotaka kinga iondolewe msisahau kuwa huko kwenu mna mawaziri wakuu wastaafu? yaani ujinga mtupu! kwani nani kasema kama hao wanahusika sisi tuna watetea? Kwanza Edo alikwisha waambia kama ushahidi upo wampeleke mahakamani.
Ina maana Ndugai hakubaliani na kuondoa kinga kwa vile maraisi hao walikuwa CCM! halafu wanabana pua kuwa "tuko vitani sasa hivi!"
 
In CCM au upinzani tunachohitaji ni masuala yenye tija kwa taifa letu yaweze kujadiliwa kwa kufuata kanuni na misingi bora
Mkome kupeleka bungeni miswada kwa hati ya dharula sasa imeumbuka,CCM na spika wenu mjirekebisha na mjitahidi kusoma miswada sio kujibu ndiooooo tu ,Mmekuwa watu wa ajabu CCM ,na rambirambi zitawaumbua huko mbeleni ni aibu CCM
 
Kumekuwa na juhudi za makusudi kutaka kuwaaminisha Watanzania kuwa wapinzani wanatetea wezi wa Madini wakati walioshirikiana na wezi wanajulikana wakiwemo Wabunge wa CCM waliopitisha sheria mbovu kwa kura za NDIYO. Tume ya rais imewaumbua.

Jana MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Profesa Abdallah Safari amempongeza rais JPM na kumfananisha na Rais wa Kwanza wa Ghana, Kwame Nkrumah na Waziri Mkuu wa Kwanza wa Congo (DRC), Patrice Lumumba kutokana na juhudi binafsi anazofanya kutetea rasilimali za nchi.

Wakati huohuo Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema ambaye pia alikuwa mgombea urais UKAWA, Mh. Edward Lowassa amesema, juhudi zinazofanywa na rais ni za kuungwa mkono na Watanzania wote, akaongeza kuwa anachofanya rais ndicho alichokuwa anakihubiri kwenye kampeni, ila akamshauri pamoja na mazuri anayofanya kiungwana anatakiwa kuwaomba radhi Watanzania kwa niaba ya chama chake CCM kwa kusaini mikataba mibovu ya kinyonyaji.

Kila mtu anajua CHADEMA/UKAWA, Lissu, Mnyika, Zitto ndiyo wenye hoja yao tangu mwanzo, CCM na washangiliaji wao Team Makinikia walikuwa wamedandia treni kwa mbele.

Naomba kuwaambia wanaCCM wote sasa tulieni kimya watetezi halisi wa Madini wameamua kujitokeza, mnachotakiwa ni kutubu badala ya kuendelea kujifanya mna uchungu na madini wakati mliyagawa wenyewe.

Hongera viongozi wa CHADEMA, tunaomba viongozi wengine zaidi wajitokeze ili kuwafundisha CCM maana halisi ya uzalendo usioyumba.
Tatizo letu watanzania hatuna critical skills. Wengi hawachambui hoja wanazopewa wanazimeza live kama zilivyo ndiyo maana leo wapinzani wanaonekana ndiyo wabaya. How??? waliolia sana kuhusu hii mikataba mibovu wawe ndiyo wabaya na walioitengeneza na kusaini wanakuwa ndiyo vinara!!!! Yaani waliotufikisha hapa ndiyo tunawasifia!!!! This strange country!!!! Hivi ni kweli serikali ilikuwa haijui kama acacia haijasajiliwa??????
 
kama jana nimeshangaa sana kauli ya Spika Ndugai, eti nyie mnaotaka kinga iondolewe msisahau kuwa huko kwenu mna mawaziri wakuu wastaafu? yaani ujinga mtupu! kwani nani kasema kama hao wanahusika sisi tuna watetea? Kwanza Edo alikwisha waambia kama ushahidi upo wampeleke mahakamani.
Ina maana Ndugai hakubaliani na kuondoa kinga kwa vile maraisi hao walikuwa CCM! halafu wanabana pua kuwa "tuko vitani sasa hivi!"
kazi ipo
 
CCM ni vimbelembele kweli, wao ni kwenda na upepo unaovumishwa na mwenyekiti wao hilo linajulikana tangu kuundwa kwa hiki chama, kipindi mkapa anauza nchi kwa kisingizio cha utandawazi, ndio walikua wanashangilia kama machizi, kikwete alipokuja na WAMA wakashangilia, saivi magufuli kaja kutengua waliyoyashangilia tena wakashangilia yaani hawaeleweki.
 
Back
Top Bottom