Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,667
- 30,585
p { margin-bottom: 0.1in; line-height: 120%; }
Nimewahi kusema tunaitaji viongozi wenye uchungu na timu wasio na njaa za dunia
Janaa nikiwa na timu yanguu nilishuhudia jerry muro akisimama kwenye mistari na kuhimiza wananchi kuwa na tkt wananchi kuchukua vishina vya wanapokatiwa
Halii hii niliipenda sananpale mlipowaweka mabubu walioenda shule aisee mabubu awajui kuhongwa mabubu wanasukuma kama fala kama huna tkt
Halii hii ilifanya hata hata moja wa polisi mwenye cheo kikubwa kuchanganyikiwa nalwenda kutaka kumwondoa kijana mmoja ambae alisimamia vilivyo mapato ya jana akuna kuingia bila kipande cha tkt
Kilichonifurahisha jana baada ya tkt kuisha wakasema kuna vishina..GAFLA Tukaona mtu anarudishwa akiwa na kishinda cha boaringpass ya ndege
Mwingine kaja na kishina cha mechi ya brasil vs taifastars alipodakwa akaanza kulia..NA Vituko mbali mbali
Nawashauri viongozi wa yanga muwe makini sana sana hasa kwenye mechi za yanga aijalishi kuna vitabufeki vyabnani msikubali kuaribu mapatoya yanga kamwe
Sikupenda huyu kiongozi wapolisi anaitwa moody alichokuwa akifanyaa na hii ilileta imani kumbe kuna michezo michafu sana inaendeleaga getini kupitia hawa polisi na awako kwa ajili ya kulinda na kukagua tkts
Afande siro nashauri huyu afande asionekane kabisa pale taifa analiaibisha jeshi.....HII N kashfa ...PONGEZI Kwa afande jones ambae alipoona mwenzie amearbu na yule kiongozi akamwambia ntakuchafua kama sio magwamda yako aibiwi mtu hapa..KIUKWELI Mh raisi tunaomba muweke watu wa takukuru kila mechi zinazochezwa taifa hasa magetini
Aibi sana watu wanarudishwa alafu wanapoint nimeuhusiww na polis yulee khee kama nani..MASKINI Wanaishia kutoka kwa aibu
Yanga funs mapato yatapatikana kama sisi pipia tukiachana na tkt za magumashi