Hongera uhamiaji Kenya na Tanzania kwa OSBP

Tuache kutia vifaranga viberiti na kukamata ng'ombe na kuwapiga minada, nina uhakika kuna jinsi ya kurekebisha wakati kuna matatizo yoyote, sio kuchukua hatua za chuki na mihemko.
Hata mkituletea magonjwa ili kuua soko letu tuwaangalie tu?
Tuacheni tuendeshe nchi kwa kufuata sheria zetu,haiwezekani Ng'ombe wa mkenya malisho Tanzania halafu anarudishwa kenya kutengeneza pesa,mlizoea kutuona mafala na kufanya shamba la bibi,tumestuka
 
MK254,

Hapa MK254 unatuangusha kama Great Thinker wa JamiiForums. Suala la vifaranga waliosafirishwa bila kufuta utaratibu, viwango vya chanjo/afya/magonjwa/ kuhamisha mifugo na kuku ili kuepusha magonjwa kwa binadamu na mifugo ni suala nyeti na halina mzaha.

Naona mnavyotaja taja sheria kwa bidii, hivi hao vifaranga walipatakana na homa ipi baada ya kupimwa hadi mkaamua kuwatia kiberti wakiwa hai, wote 6,000 kwa mpigo.
 
Back
Top Bottom