Leo nina furaha sana. Nina furaha kwa Lissu kuteuliwa na Chama chake.
Ninaamini sasa tutakuwa na uchaguzi. Watanzania wengi wamefurahi wamepata mtu wa kuwafuta machozi kutokana na kifungo, minyororo, na mateso ya miaka mitano.
Hongera sana.
Nimemuona Lissu halisi. Mungu akulinde na akupe ujasiri. Ni muda sasa wa kupimana nguvu na uwezo wa uongozi.