Hongera Tundu Lissu, jengo ulilowajengea mawakili limekamilika

zuri Ila wataambiwa hilo jengo liko barabarani hivyo kutakiwa kubomolewa!😢
Hivi, lile la TANESCO Ubungo lilishabomolewa..!? Maana naikumbuka ile ya mkuu

Na lile la enzi za Ritha Mlaki kuwa mkuu wa mjia Dar, kule Masaki, njiani ukitokea Golden Tulip kuelekea Seaclif nalo limebomolewa..!??
 
zuri Ila wataambiwa hilo jengo liko barabarani hivyo kutakiwa kubomolewa!😢
Hivi, lile jengo la TANESCO Ubungo lilishabomolewa..!? Maana naikumbuka ile mbwembwe ya mkuu

Na lile la enzi za Ritha Mlaki kuwa mkuu wa mkoa, Dar, kule Masaki, njiani ukitokea Golden Tulip kuelekea Seaclif nalo limebomolewa..!??
 
Back
Top Bottom