Hongera tbc kwa kuonyesha demokrasia

Izack Mwanahapa

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
497
236
Nimefurahishwa sana na taarifa ya habari ya leo iliyorushwa na TBC1, wameonyesha demokrasia ya hali ya juu kwa kufanya coverage nzuri kwenye kampeni za vyama vya upinzani hasa CDM, ni mara chache sana jambo kama hili kutokea. Hongereni tunaomba jitihada hizo ziendelee. japo hatutegemei mhariri wa leo kuhamishwa kitengo.
 
SIFU leo lakini kesho kuwa makini. HAWA WATU WANANG'ATA NA KUPULIZA. hii ndio uwt/usalama wa magamba at work.
 
tuitoe TBC kutoka serikalini iwe mali ya umma, hapo kutakuwa hakuna tena upendeleo,kama KBC,CNN,ABC na mashirika mengine makubwa yanaongozwa na umma na sio serikali,bila hivo TBC itaendelea kubaki mali ya CCM, ni sawa na ATC ingekuwa mali ya uma isingekufa lkn kwa vile iko chini ya serikali ikafa kifo kikuu,SISI TWALALA kenya wanachanja mbuga kwenda AMSTERDAM,LONODN NK.....KBC nayo inakata mbuga TBC hoi.
 
Back
Top Bottom