Hongera Tanzania kwa kuweka historia duniani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Tanzania kwa kuweka historia duniani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by baina, Apr 5, 2011.

 1. baina

  baina JF-Expert Member

  #1
  Apr 5, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 221
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika hali isiyo kuwa ya kawaida nchi ya Tanzania sasa yapata miaka 47 tangu 1964 ikiwa inatawaliwa na marais wawili wote wakiwa ndani ya nchi moja na wakielewana na kupanga pamoja tofauti na kodivaa kwa Bagbo.

  Naomba mnisamehe wana JF nina swali;

  Huu ni muungano au ushikaji?
   
 2. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #2
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Teeh teeh, Muungano wakishikaji na taifa mmoja linanyonywa, but wanataka tuamini kuwa ZNZ ndio wanaonewa wakati wao wana Raisi wao, Bunge lao, Jeshi lao, wimbo wa Taifa ila ni uhaini mkubwa kuulizia ishu za Tanganyika. Utaonekana mpinga muungano na mtaka fujo
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Wala hata sio ushikaji,ni ushikwaji kabisa!
  Tunawalisha zenj,yaani ni kama kupe vile
   
 4. s

  salisalum JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2011
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 379
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Tunaweza hata kuwa nao watatu ni katiba tu ikisema hivo. Sasa hivi inasema tuko na marais wawili!
   
 5. chloe.obrain

  chloe.obrain JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 25, 2010
  Messages: 391
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  na Bendera yao.:smile-big:
   
 6. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #6
  Apr 5, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Rais wa Zanzibar si rais wangu......si ndugu yangu pia
   
 7. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ni makubaliano tu kama ya boy friend na girl friend
   
Loading...