JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 532
- 646
Sababu ni ma handsome hivyo watu wanawaondea wivu sababu ya kutoka kwao. Acheni Gere jamani.Kwanini?
Uhandsome ndio kuwa hivyo!!? Mwanaume kasimama kalegea kudhidi dada yake dah hapana aisee.Sababu ni ma handsome hivyo watu wanawaondea wivu sababu ya kutoka kwao. Acheni Gere jamani.
Huo ni ukodak tu wapo sawa. Hawa ni students.Uhandsome ndio kuwa hivyo!!? Mwanaume kasimama kalegea kudhidi dada yake dah hapana aisee.