Hongera Star Tv

Captain22

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
623
279
Nawapongeza sana star tv kwa kuweka wazi kuwa tunaadhimisha miaka 50 ya uhuru wa TANGANYIKA. TBC wanaendekeza sera za ccm wameandika Uhuru Wa Tanzania bara nchi ambayo haikuwahi kutawaliwa kama koloni katika historia yake
 
Zanzibar ilipata uhuru lini? Maana Tanzania na Zanzibar ziliungana 1964?
 
Ni kweli kwamba uhuru huu wa 1961 ni wa Tanganyika. Neno Tanzania au Tanzania bara lilikuja baadae mwaka 1964 baada ya kuungana na zanzibar. Lakini vilevile TBC waweza kuwa sahihi kwani baada ya muungano, Tanganyika ilibadilika na kuitwa Tanzania bara.
 
sisi ni tanganyika hayo unajua ww na wana ccm wenzako
 
Halafu mara nyingi 'Zanzibar' waiita 'Zanzibar', mbona hawatumii 'Tanzania visiwani?'
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom