Hongera Star tv kwa usawa kuhusu mauaji kata ya Ngado Singida

Safi sana StarTV, far said balanced story, huo ndio waledi wa uandishi wa habari, well done!
 
Tatizo mhariri mkuu wa ITV,aka,steven chua kila mda anawaza bia na konyagi, semunyu naye ni kilaza wa kupindukia hajui habari ninini,upuuzi mtupu
 
Kaka mimi tokea juzi dr slaa ,mnyika na lema watangaze kwamba wametishiwa kuuwawa na itv kutokurusha ile habari nimehamia rasmi star tv na mlimani tv ..tena mbaya zaidi na siku zilizofuata wakahojiwa police central pia itv ikaona hiyo nayo sio habari sasa nimehama rasmi na sitorudi nyuma,nawahamasisheni na wadau wengine njooni huku mupate habari za uhakika na za kuaminika
 
Kikwetu "Semnyoo" ni tusi..."mnyoo=sehemu ya haja kubwa,halafu "Se" huwakilisha mwanamke kama vile "she" ktk English....e.g Mgimwa..akiwa mwanamke Se-Mgimwa wakati mwanaume ni Mwa-Mgimwa!sa ukisema Semnyoo unataka kunambia kuna Mwa-Mnyoo!duh JF BANA kuniaminisha
itv siku hizi sijui nini kimewakumba....na waandishe wenyewe ndo akina semnyoooo
 
Back
Top Bottom