Hongera Spika Ndugai kwa kurudisha hadhi na heshima ya bunge

Developer IOS

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,457
1,409
Habari wakuu,Kwa siku za nyuma heshima ya bunge letu ilishuka sana kitu ambacho kilishushia hadhi sana muhimili huo mkubwa sana katika nchi yetu.Tulishuhudia vituko vingi sana katika bunge la awamu iliyopita tulishuhudia jinsi gani kiti cha spika kilivyodharauriwa.Wabunge hawakuheshimu kabisa bunge letu na kufanya bunge sio mahali patakatifu sana wakaanza kutafuta kiki kwa kufanya vurugu ikapelekea hadi kupigana kabisa bungeni.

Wasanii nao hawakuwa nyuma kuonyesha jinsi gani bunge letu lilivyokosa heshima.Nakumbuka mistari michache ya roma "bunge ni bongo muvi njooni tuitazame tamthilia wabunge wanashuka hadhi kwa kugeuka mabondia". akuhishia hapo akajiuliza kuna wabunge wanaivuta bangi ya wapi.

Lakini spika ndugai amekuja kubadili na kuondoa ujinga wote na uhuni wote uliokuwa unalishushia hadhi bunge letu tukufu.Hongera ndugai kwa kurudishia utukufu thamani na heshima bunge letu.Kweli sasa hivi bunge limekuwa mahali patakatifu kweli
 
Heshimaya Bunge ni uwezo wake kuishauri serikali na ikashaurika siyo ukali wa spika mbwa kubweka siyo ulinzi mwingine anabweka kwa uoga ukimsogelea anakimbia
 
Habari wakuu,Kwa siku za nyuma heshima ya bunge letu ilishuka sana kitu ambacho kilishushia hadhi sana muhimili huo mkubwa sana katika nchi yetu.Tulishuhudia vituko vingi sana katika bunge la awamu iliyopita tulishuhudia jinsi gani kiti cha spika kilivyodharauriwa.Wabunge hawakuheshimu kabisa bunge letu na kufanya bunge sio mahali patakatifu sana wakaanza kutafuta kiki kwa kufanya vurugu ikapelekea hadi kupigana kabisa bungeni.

Wasanii nao hawakuwa nyuma kuonyesha jinsi gani bunge letu lilivyokosa heshima.Nakumbuka mistari michache ya roma "bunge ni bongo muvi njooni tuitazame tamthilia wabunge wanashuka hadhi kwa kugeuka mabondia". akuhishia hapo akajiuliza kuna wabunge wanaivuta bangi ya wapi.

Lakini spika ndugai amekuja kubadili na kuondoa ujinga wote na uhuni wote uliokuwa unalishushia hadhi bunge letu tukufu.Hongera ndugai kwa kurudishia utukufu thamani na heshima bunge letu.Kweli sasa hivi bunge limekuwa mahali patakatifu kweli

mleta mada unajaribu kumzamisha Ndungai shimoni mazima.
 
Mada zingine mtu analeta ili tu kutuharibia siku. Hadhi ipi wakati ndo unazidi kuiporomosha. Yaani rais kumteulia wajumbe wa kamati/tume spika niyo unapovuka hapa? Ubabe wa spika dhidi ya wapinzani ndo ushujaa? Dah inakera kwakweli
 
Kwa ujumla nimepoteza hata hamu ya kujua nini kina endelea bungeni. Toka Yustino ameingia naona bunge limekwenda kuzimu na halina mvuto kabisa. Kama hiyo ndo heshima ya bunge basi amefanikiwa sana, aendelee.
 
kwahiyo ulikuwa unaona raha watu wakipigana bungeni
 
Nimeona fujo nyingi bungeni wakati wa Yustino ukilinganisha na wakati wa yule Bibi au yule Babu. Nimeona bunge likiwa kibogoyo zaidi wakati huu wa Yustino. Nimeona mhimili mwingine ukisema wenyewe ndo imezuia bunge live, nimeona mhimili mwingine ukiagiza wabunge wa upinzani washughulikiwe ndani ya bunge. Nimeona wabunge wakinyanyaswa zaidi wakati huu wa Yustino-wengine wanafungiwa mwaka mmoja na wengine wanatishiwa kufungiwa maisha. Sasa kama hiyo ndo heshima ya bunge, basi aendelee tu atafanikiwa zaidi.
 
kama hawana adabu unataka wachekewe
 
heshima ya bunge IPO kwenye kuisimamia serikali na wala sio kuwasimamia wabunge kama primary schools. kwa utaratibu huu sio bunge tens Bali ni bange. inawezekana wanaloliongoza wanafanya maksudi ili liwe bange kwa kuwa ni watumiaji.
 
Unaweza ukajikuta unajibu hoja za kibaji au maji marefu mtu ambae chuo kikuu alikisikia akiwa bungeni tayar. Simanishi kufika chuo ndo kujua kila kitu. Unajiuliza watoa mada kama hizi huwa wanalipwa na nani na tshngap hadi wakubali kujitoa akili kwa kiwango hiki?
 
17022031_843747242430305_2666705316584212910_n.jpg

Ni kweli kabisa,
Wabunge wakorofi sasa wanaipata fresh.
Hongera Speaker Ndugai.
 
Back
Top Bottom