Hongera Simba kutoa Wachezaji Mara mbili mfululizo kwenye kikosi cha wiki cha CAF Champions League

Payrol

JF-Expert Member
Feb 17, 2018
2,282
3,077
Round ya kwanza ya makundi Simba waliingiza mchezaji mmoja kwenye kikosi cha wiki cha CAF champion league hatua ya makundi. Round hiyo alikua Tadeo Lwaga.

Round ya pili imeingiza Wachezaji wawili Joash Onyango (the poison) na Luis Miquissone (the conde boy). Hii ni hatua nzuri sana kwa Wachezaji wa Simba kuendelea kupambana ndani ya uwanja. Kama haitoshi Luis Miquissone ameingia kuwania tunzo ya mchezaji bora wa wiki wa CAF champions league wiki ya pili. Wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa wiki ni Luis Miquissone (Simba), Mualid Ellafi (Wydad), Obed Mayamba (As Vita) na Themba Zwane (Mamelod).

Hongera Luis Miquissone, hongera Joash Onyango, Hongera Simba Tanzania.

(Simba Nguvu moja)
 
Mh! Huyo Themba Zwane balaa lake siyo dogo...anyways hongera Konde boy hongera Onyango....wachezaji huwa wanapanda thamani kwa style hii nakumbuka Makusu Mundele aliuzwa 1.3 Billion.
 
Kwani Lazima mchuzi uutie changa au we utopolo #SimbanguvuMoja
 
Inamaana hao CAF hawajamuona Carlinhos na Fiston walioisaidia Yanga kupata ushindi wiki iliyopita?.

Hongereni Luis na Onyango, kujitolea kwenu kwa timu ya Simba kunaonekana - mmestahiki.
 
Subili timu ya Kifa utawaona
 
Round ya kwanza ya makundi Simba waliingiza mchezaji mmoja kwenye kikosi cha wiki cha CAF champion league hatua ya makundi. Round hiyo alikua Tadeo Lwaga.

Round ya pili imeingiza Wachezaji wawili Joash Onyango (the poison) na Luis Miquissone (the conde boy). Hii ni hatua nzuri sana kwa Wachezaji wa Simba kuendelea kupambana ndani ya uwanja. Kama haitoshi Luis Miquissone ameingia kuwania tunzo ya mchezaji bora wa wiki wa CAF champions league wiki ya pili. Wanaowania tuzo ya mchezaji bora wa wiki ni Luis Miquissone (Simba), Mualid Ellafi (Wydad), Obed Mayamba (As Vita) na Themba Zwane (Mamelod).

Hongera Luis Miquissone, hongera Joash Onyango, Hongera Simba Tanzania.

(Simba Nguvu moja)
Hongera manura
 
Back
Top Bottom