Hongera serekali yetu kwa kuagiza sukari /ombi

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
20,042
23,487
Tunaipongeza serekali yetu kwa kufanya uamuzi wa hekima katika suala la kuamua kuagiza sukari nje ya nchi.
lengo la kuanzisha Uzi huu ni kupongeza na kutoa angalizo la muhimu Juu ya mara sukari hii itakapoingia,
Tunaiomba serekali iidhibiti sukari hii ielekee katika mikono salama na isije angukia katika mikono ya watu wasiolitakia mema taifa letu,
na hatimaye kuificha ili kuhujumu mpango huu mzuri wa serekali.
serekali ihakikishe kwamba kama kuna watu walihujumu kwa kuficha sukari ili labda waje kuuza kwa bei ya Juu wasifanikiwe kwa hili.
serekali ikontrol bei ya sukari kama ilivyowahi kutangazwa 1800/-kwa kg.
mnaweza ongezea hapa.....
 
Back
Top Bottom