Hongera Serekali kwa Kuvunja Mkataba Wa Nicol na Narco

kabla sijatoa neno la kuipongeza serikali mimi naona nisubiri kidogo mana kesho unaweza shangaa tunadaiwa wameshinda kesi tena
 
Wanauhakika wamemaliza kununua ndege canada? tusijeitana vibaraka wa mabeberu baada ya maamuzi ya mahakama.
 
Nicol, narco ni mashirika ya kiserikali. Hii si kama Baba amevunja mkataba na baba mdogo pamoja na mama mdogo? Halafu mpaka 9.7b inaliwa hakuna aliyeshtuka?
 
Nicol, narco ni mashirika ya kiserikali. Hii si kama Baba amevunja mkataba na baba mdogo pamoja na mama mdogo? Halafu mpaka 9.7b inaliwa hakuna aliyeshtuka?
Aliye kudanganya nicol ni shirika la umma ni nani? ? Uelewa mdogo au jina la national investment company? ?
Ndio ujue sasa kwanini jina kama hilo lilitumika, ilikupita kwenye tundu la sindano
 
Back
Top Bottom