Hongera Sanctus Mtsimbe: apanda ngazi katika kazi mpya! Bosi nchi 11 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongera Sanctus Mtsimbe: apanda ngazi katika kazi mpya! Bosi nchi 11

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee Mwanakijiji, Aug 16, 2011.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 798"]
  [TR]
  [TD="colspan: 11"]Focus on East Africa

  A regional sales manager has been appointed for the East African market, Danimex welcomes Sanctus Mtsimbe.

  Friday, August 12, 2011


  [​IMG]
  Danimex Communication has been a trusted business partner in the African market for radio communication solutions, both through a dealer network and a local office in Nigeria.

  In a serious effort to strengthen local resources and promote local services, mr. Sanctus Mtsimbe has joined Danimex Communication as Regional Sales Manager for East Africa, covering Burundi, Eritrea, Ethiopia, Kenya, Rwanda, Somalia, Somaliland, Sudan, South Sudan, Tanzania and Uganda.

  Danimex selected Sanctus Mtsimbe for this demanding position in appreciation of his personal and professional skills. He holds a M.Sc. degree from University College London and a B.Sc. degree from the University of Dar Es Salaam.

  Following this, 20 years of employment in the ICT field as well as numerous professional training courses, covering a variety of contemporary technologies, have improved his qualifications further.

  Since 2001 Sanctus Mtsimbe has worked for SimbaNET of the Wananchi Group (EA) in different capacities as Sales & Marketing Manager, Deputy General Manager (Sales) and later Regional Sales Manager for East Africa. He was responsible for Corporate and Government Sales as well as Special Innovative Projects such as a TETRA PROJECT, in which SimbaNET partnered with Danimex.

  Sanctus Mtsimbe will be reporting directly to managing director Hans Becker. He will assume responsibility for the succesful development of Danimex's East African operations, with a special focus on developing and expanding the Danimex dealer network in the region.
  cwl
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 12"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 12"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD="colspan: 11"] Back[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  [TABLE]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD="colspan: 11"][HR][/HR] [TABLE="width: 666"]
  [TR]
  [TD]Head office:
  Danimex Communication
  Elholm 4
  DK-6400 Sønderborg
  Denmark[/TD]
  [TD="width: 15"][/TD]
  [TD]Contact Danimex [TABLE="width: 150"]
  [TR]
  [TD]Tel.:[/TD]
  [TD]+45-7342 5600[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]Fax.:[/TD]
  [TD]+45-7342 5615[/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]

  danimex@danimex.com
  Traveling directions[/TD]
  [TD]Promotion:
  Save 50% on Iridium
  ------------------------
  Career opportunities
  Terms and conditions
  Warranty and repair
  CSR and core values[/TD]
  [TD][/TD]
  [TD] [​IMG][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
  [/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD][/TD]
  [TD="colspan: 11, align: left"][/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]


  My Take:

  Bw. Mtsimbe ameendelea kuonesha kuwa myths ambayo imekuwa ikijengwa kuwa Watanzania hawana uwezo au hawaajiriki ni hicho tu; myths. Lakini pia inaonesha hardwork pays. Kati ya watu karibu 200 waliokuwa wanagombania nafasi hiyo kutoka nchi mbalimbali Bw. Sanctus ameng'ara na ameitwa kuonesha kuwa wapo Watanzania wanaoweza kung'ara popote!!

  Bro, umeitwa kuwa mtendaji na tunatarajia utaonesha kwa weledi wako wote kwanini hawa jamaa hawakufanya kosa hata kidogo. Congrats nyingi sana and I'm proud to call u a friend. Keep it up.
   
 2. D

  Dotori JF-Expert Member

  #2
  Aug 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2007
  Messages: 547
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hongera sana Bw. Mtsimbe! Nakutakia kila la kheri kwenye majukumu yako mapya.
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Aug 16, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Yeah.. he is a true icon...
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hongera Sana Sanctus!!

  Maybe ndiyo maana siku hizi haupo kabisa JF... :)
   
 5. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #5
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hongera nyingi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,hard work real pays,ol the best in everthing
   
 6. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #6
  Aug 17, 2011
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Hongera Sanctus...
   
 7. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #7
  Aug 17, 2011
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,702
  Trophy Points: 280
  Hongera kaka
   
 8. K

  Karry JF-Expert Member

  #8
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Hongera kaka Mtsimbe endeleza juhudi
   
 9. Job K

  Job K JF-Expert Member

  #9
  Aug 17, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 6,861
  Likes Received: 2,786
  Trophy Points: 280
  Hongera sana kaka umetutoa kimasomaso!!!

  Tatizo la wasomi wengi wa TZ ni waoga mno wa changamoto. Ndo maana wamekalia kulialia tu na kuwaona wengine kama wa-Kenya kuwa wako juu yetu. Afadhali Bw. Mtsimbe umewaonesha njia wasomi wengine!! Naamini humo kulikuwa na wa-Kenya, waganda, n.k lakini umewabwaga. Wasomi wengine igeni huo mfano msiogope kuomba kazi kubwa kubwa kwa kujishusha utafikri hamjaenda shule!!

  Always it pays to have a trained person!!

  Hongera sana bro. kachape kazi na uache porojo za wa-TZ.
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  sasa inabidi ujiulize inakuwaje watu wengine waliosoma vizuri tu wanaonekana kuwa hawawezi hizi kazi za kimataifa?
   
 11. Innovator

  Innovator Content Manager Staff Member

  #11
  Aug 17, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 387
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hongera Sana Kaka
   
 12. Bridger

  Bridger Content Manager Staff Member

  #12
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 2, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Hongera sana Mkuu
   
 13. TGS D

  TGS D Senior Member

  #13
  Aug 17, 2011
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 114
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongera sana kaka. Wishing you all the best.
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Aug 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Siyo wasomi tu, Tanzania tuna makampuni machache sana yaliyowekeza nje ya mipaka ya nchi. Kwa mfano mbali na Exim Bank ilifungua branch Comoro, ni bank gani nyingine ya Tanzania imevuka mipaka na kufungua branches nje ya nchi? Sisi tumekuwa wa kupokea ma-bank tu. Kila mwaka unasikia majigambo ya bank zetu kama wakina CRDB, NBC wakisema wamepata faida kwa mabilioni, lakini why cant they expand thier operations to other countries in the region? Small thinking!
   
 15. Sanctus Mtsimbe

  Sanctus Mtsimbe Tanzanite Member

  #15
  Aug 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2008
  Messages: 1,815
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160

  Mzalendo Mwanakijiji;

  Kwanza napenda sana Kumshukuru Mwenyezi Mungu, kwani yeye ndiye mtoaji wa yote.

  Pia nakushukuru sana kwa pongezi zako wewe na Wadau wote. Niseme tu sikuwa nategemea kabisa kuwa habari kama hizi zingeweza kuwa na umuhimu kiasi hiki. I must say I am humbled. Na hata nilipoitwa na wakubwa hawa kwa Interview Denmark nilichukulia tu kuwa ni moja ya mikiki mikiki ya kawaida ya maisha hadi waliponiambia kuwa nina sifa zaidi na uwezo kuliko washindani wangu wote waliotuma maombi na kufanya Interview toka sehemu mbalimbali duniani.

  Nimefanya kazi na Kampuni yangu ya sasa kwa takribani miaka 10 sasa na niseme tu ni mengi sana niliyojifunza na kutenda kutoka kwa wenzangu na pia viongozi.

  Lazima niseme kuwa ilikuwa pia bahati iliyoambatana na "Uamuzi Mgumu" hasa ikizingatiwa pia nilikuwa na nafasi ya kufanya vyema zaidi na hata kupanda juu zaidi katika kazi yangu ya mwisho ambayo ilinipa nafasi pia ya kutumikia nchi yangu na zile za Jumuiya ya Africa Mashariki.

  Ningependa kuchukua nafasi hii pia kuwashukuru wadau wote wa JF; Michuzi; Ndugu; Jamaa na Marafiki mbalimbali ambao toka wamepata taarifa hizi wamekuwa wakinipongeza. Nimejifunza mengi sana kutoka kwenu nyote na sasa ni nafasi nyingine tena ya kutenda katika wigo mpana zaidi.

  Niwaaambie tu kuwa kujishughulisha pia katika kazi za jamii kupitia mitandao kama ya TPN na wadau wake kama JF na Michuzi huenda iliniongezea maksi. Kwa hiyo sina budi kuwashukuru nyote hasa katika moja ya Kampeni zetu ya Kuchangia Wahanga wa Mafuriko nchini. "Ni Bora Kutoa Kuliko Kupokea". There is Power in Giving.

  Wengi wenu tunaofahamiana tumekuwa tukiheshimiana sana na hata kutambuana kila moja kwa nafasi yake na kazi yake. Ilikuwa ni nafasi njema kuweza kushirikiana katika mambo mbalimbali na nilifurahi kufanya kazi nanyi na bila ya shaka tutaendelea kushirikiana katika wigo mpana zaidi.

  Natambua kuwa kuna changamoto nyingi sana lakini najua pia kuwa "Pamoja Tunaweza"

  Tuzidi kuombeana na kushauriana. Asanteni sana.
   
 16. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #16
  Aug 17, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hahah hahha...sasa mshkaji vip kale kamimba ulikonipa?ulikokatelekeza...UTANIHUDUMIA?(joke)  misss u ma dia..just congratsssssssssss ma supaman.....hongeraaaaaaaaaaaaa sana..

  lin utakuja ..pande ile ya brazil?

  hongera mshikaj

  MUNGU AKUJALIE BUSARA NA HEKIMA KTK KAZ ZAKO
   
 17. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #17
  Aug 17, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Inafurahisha sana kusoma habari kama hii. Hongera sana Mkuu maana nakumbuka sana juhudi zako na wadau wengine kwenye kuchangia Wahanga wa mafuriko. Kila la kheri huko unakoenda na ukawe balozi mzuri kwa familia yako, ndugu zako, Marafiki, Watanzania na Waafrica kwa ujumla na mwisho, kama binadamu.

  Kuna haja ile kampeni ya kuchangia isiishie hapo. Itakuwa vema siku moja kiwepo kitu kama hicho walau mara moja kwa mwaka kwani wenye kuhitaji hapa Tanzania wapo wengi na kama alivyosema Mzee Mwanakijiji, inaonekana kuwa sisi Watanzania pia tunaweza sasa swali linakuja "kwanini kwenye misaada tusiweze?" Kuna Watanzania wanaishi vizuri sana kuzidi hao wa nchi tajiri zinazotoa msaada ila wai wanaamini kuwa kutoa ni moyo.

  Kila la kheri katika kazi yako mpya na HONGERA SANA.
   
 18. K

  Karlmakeen Member

  #18
  Aug 17, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Congrats brother Sanctus. I remember you those days a serious A-level guy who commanded much respect from us O-levels at a certain school in the coast region! I will still look up on you brother as you conquer the global with your hardwork and dedication. Congratulations.
   
 19. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #19
  Aug 17, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mwanakijiji thanks for the updates.... Big Up Mtsimbe!
   
 20. HOMOSAPIEN

  HOMOSAPIEN JF-Expert Member

  #20
  Aug 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 719
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Big up,ex- Kibo Sec school,Moshi tena pale stend ya basi hii inaonesha shule siyo lazima ya hadhi kubwa au pesa nyingi juhudi yako tu,kwani hata form vi nadhani ilikataa.
   
Loading...