Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,127
- 23,036
Kabla sijasahau, naomba nitumie nafasi hii kutoa pongezi za dhati kwa watani wetu wa jadi Kenya kwa kujizolea medali nyingi za olimpiki kuliko nchi yoyote ya kiafrika. Hongera sana kwa mafanikio hayo. Kenya imekuwa mstali wa mbele kwa muda mrefu sana katika riadha, namkumbuka Kip-Choge Keino wa miaka hiyo ya sitini.