Hongera sana Wakili Peter Kibatala Mungu akulinde

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,918
95,201
Wakili Peter Kibatala tunakuombea kwa mwenyezi mungu akulinde na kukujalia afya njema kwa kazi yako tukufu unayo ifanya hapa nchini Tanzania kwa kuendelea kuwapigania wanyonge wanao onewa na wenye nguvu na misuli mikubwa, sisi mamilioni ya watanzania wanyonge dua zetu ni kwako maana unastahili kuombewa.
 
Ni kweli, Hivi mtu mzima anahitaji kuombewa wakati ana ulinzi na familia, Sasa na wale watoto wa chekechea atawaombea nani?
 
Amina!
Yampasa kumcha Mungu siku zote!
Tena Kwa kumaanisha na si Kama wengine wanavyofanya kiunafiki!
Yani aishi Kwa kulishika Neno la Mungu Kweli Kweli !
Mungu ni mwaminifu hatampungukia siku zote!
 
Amina!
Yampasa kumcha Mungu siku zote!
Tena Kwa kumaanisha na si Kama wengine wanavyofanya kiunafiki!
Yani aishi Kwa kulishika Neno la Mungu Kweli Kweli !
Mungu ni mwaminifu hatampungukia siku zote!
Kibatala anastahili
 
Back
Top Bottom