Hongera sana Tundu Lissu, hongera sana Wagombea ubunge wa CHADEMA, hongera sana CHADEMA

lee van cliff

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
4,054
2,000
Hongera sana Lissu kwa kampeni nzuri kabisa zenye elimu ya Uraia murua kabisa.

Hongereni Sana wagombea ubunge wa Chadema na ACT kwa kazi nzuri mliyofanya mkiwa wabunge na kazi nzuri wakati wa kampeni.watu waliwaelewa sana.hongera Sana Chadema kwa kuendesha kampeni za kisayansi.

Kikubwa zaidi hongereni sana kwa kusaidia kufikisha ujumbe kwa dunia bila nyinyi kujua juu ya yanayoendelea hapa Tanzania,sio tu dunia hata Raia wa nchi hii wamejua mengi.

Dunia imejua rangi halisi ya nchi hii kwa Sasa.

Kazi mliyoifanya mtaona majibu yake baada ya muda mfupi ujao hapa nchini na nje ya Tanzania.

Nyinyi Ni mashuajaa nawaambieni,Chadema na ACT Ni mashujaa wa Taifa.

Kampeni zenu zimepenya Hadi ulimwenguni kote.

Muda niwalimu mzuri.
 
lutemi

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
1,711
2,000
Hongera Sana Lissu,kwa kampeni nzuri kabisa zenye elimu ya Uraia murua kabisa.

Hongereni Sana wagombea ubunge wa Chadema na ACT kwa kazi nzuri mliyofanya mkiwa wabunge na kazi nzuri wakati wa kampeni.watu waliwaelewa sana.hongera Sana Chadema kwa kuendesha kampeni za kisayansi.

Kikubwa zaidi hongereni Sana kwa kusaidia kufikisha ujumbe kwa dunia bila nyinyi kujua juu ya yanayoendelea hapa Tanzania,sio tu dunia hata Raia wa nchi hii wamejua mengi.

Ukweli aliyoyasema kwa miezi miwili ni somo kubwa sana.
Hata akiwa hayupo damu Yake itaendelea kunena.
Sasa twende kukinywea yeye amemaliza.

Siku tukichoka ndipo hatutalazimishwa nini cha kufanya.

Ila kwa sasa bado.
Tunakamilisha
Baba awe na ndevu
Mama awe na ndevu
Mtoto awe na ndevu
Yaani kama kambale vile
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
20,048
2,000
Hongera Sana Lissu,kwa kampeni nzuri kabisa zenye elimu ya Uraia murua kabisa.

Hongereni Sana wagombea ubunge wa Chadema na ACT kwa kazi nzuri mliyofanya mkiwa wabunge na kazi nzuri wakati wa kampeni.watu waliwaelewa sana.hongera Sana Chadema kwa kuendesha kampeni za kisayansi.

Kikubwa zaidi hongereni Sana kwa kusaidia kufikisha ujumbe kwa dunia bila nyinyi kujua juu ya yanayoendelea hapa Tanzania,sio tu dunia hata Raia wa nchi hii wamejua mengi.

Dunia imejua rangi halisi ya nchi hii kwa Sasa.

Kazi mliyoifanya mtaona majibu yake baada ya muda mfupi ujao hapa nchini na nje ya Tanzania.

Nyinyi Ni mashuajaa nawaambieni,Chadema na ACT Ni mashujaa wa Taifa.

Kampeni zenu zimepenya Hadi ulimwenguni kote.

Muda niwalimu mzuri.
Kwa kilichofanyika Chadema na ACT tuko pazuri mno. Tuachane na huu ugaidi uliofanywa jana na leo na kuendelea
 
NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
11,329
2,000
Chadema wanamaneno ya shombo sana,ndo maana Mungu kawapiga pigo kuu takatifu mpaka wamepoteana.
 
Ezekiel Mbaga

JF-Expert Member
May 28, 2018
9,355
2,000
Watu wameona isiwe tabu, umepigwa risasi na bado hujapona vizuri halafu tena tukuongezee majukumu ya urais, ni afadhali tukuonee huruma kwa kumpa kura magufuli ili ukatibiwe vizuri
 
Jmc06

JF-Expert Member
May 11, 2016
1,944
2,000
CHADEMA wote ni WAPUMBAVU, mlikuwa mnashangilia matusi ya Lissu dhidi ya mtu aliyewapunguzia wananchi matatizo yao.. Mmevuna mlichopanda. Shenzy type..
 
lutemi

JF-Expert Member
Dec 24, 2013
1,711
2,000
lissu ni jembe, ni mwamba, magufuri kapata cha moto na bado lissu atampa cha moto mpaka akome
Imeonesha kwamba jamaa atatawala kwa ugumu sana maana watu hawampendi. Tusishangae ulinzi wake ukiongezeka kufika magari mia sasa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom