Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 66
Heshima mbele wadau,
Katika harakati zetu za kuhabarishana, kuelemishana, kukosoana ni vyema pia tuwe na utaratibu wa kutoa sifa stahiki pale mambo mazuri yanapotokea au kufanyika.
Nimeona nitoe sifa kwa Taasisi ya Kusimamia mambo ya Hali ya Hewa (Tanzania Meteorogical Agency). Kwa ku-improve kwa kiasi kikubwa utendaji kazi wao hii ni pamoja na utoaji taarifa zilizo na usahihi kwa asilimia kubwa kama wanavyosema utabiri hauwezi kuwa 100%.
HONGERA SANA TMA KWA KAZI NZURI