Kwa Dhati nampongeza Professor Muhongo
Kwanza: bei ya umeme wa matumizi majumbani imepungua
Ombi: Punguza bei ya gesi ya kupikia majumbani ili kuokoa ukataji miti ya kuni na mkaa
Pili: Nampongeza kwa kuliona Tatizo la Bureaucracy Tanzania.
Waziri Muhongo kaona hili......Huyu ni waziri ambaye anatenda kazi.....matokeo yanaonekana.
Mwananchi Paper - Muhongo ataka mchakato wa kufungua biashara uwe mwepesi
Kwa Tanzania kufungua biashara ni ngumu sana...inahitaji moyo. Government organs (Government Officers) ni wagumu sana....sio wepesi...kumwezesha Mtanzania apate information haraka.... Mfano.....Ukitaka kupata Business License, lazima uwe na TIN number na TAX clearance. Kupata TIN ni rahisi, ngoma ipo TAX clearance.....Sasa TAX clearance unapataje wakati biashara hujaanza?
Watu wa TRA hawatoi information, Sio polite.......ni Maboss boss tu always.....Hata Secretary ni Boss
BRELA nawapongeza, wako vizuri......
Serikali lazima isaidie watanzania wengi wamiliki biashara, ili faida ibaki hapa hapa Tanzania. Watanzania wengi wakipata biashara zao, Kodi nyingi itakusanywa...
Serikali iwape Watanzania Maeneo ya kuchimba Gold, Tanzanite.......
Hatuoni kodi za Madini ya GOLD na TANZANITE -----sisikii kodi za Madini....Nasikia tu Mabenki na Tourism.. VAT
Wapi VAT katika MADINI