Hongera sana mpwaaz kwa akili zako za kijasiriamali

Status
Not open for further replies.

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
ama hakika,kama wana jf wote tutaiga mfano kama huu!....TUTAUAGA UMASKINI KABISAAAAAA:D:D

kaiza.jpg
 
Hahahaha kijiwe safi sana mpwa Kaizer nitaleta radio yangu ya mkulima utengeneze.
 
mimi nawapendaga sana wapwaaz kwasababu most of them ni GREAT THINKERS KWA VITENDO
 
Geoff!!!! ndo unataka nicheke hata kama nin kisirani leo............
 
Na viredio na vitivii vyetu vya kichina, jamaa amefikiria kimkakati zaidi.
 
Shida moja ya kijiwe hiki ni wale wanaokosa kwa kuweka vitu vyao vya zamani wana kuja kuviacha kwako!

Baada ya mwaka tumtembelee tuone alivyojikusanyia spea!

But congrats mkuu kaiza Mkono mtupu aulambwi
 
sasa hivi hapatikani tena jf!anachungulia tu.yupo bize sana na biznec
 
2048 x 1536 pixels !! Resize your photo p'se, at least screen resolution of 1024 x 768 pixels.
 
Wajameni mambo ndo kama ivo mwaka huu 2010 kikazi zaidi

si mwaniona nipo mlangoni hapo nawasubiria wateja

Tv na electronics za kisasa na zamani zote zinapokelewa

Mteja kwangu mfalme

Karibuni sana
 
Wajameni mambo ndo kama ivo mwaka huu 2010 kikazi zaidi

si mwaniona nipo mlangoni hapo nawasubiria wateja

Tv na electronics za kisasa na zamani zote zinapokelewa

Mteja kwangu mfalme

Karibuni sana
HAHAHAHA!mwaka wa biashara huu bana:D
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom