Hongera sana kwa hawa kuwa dollar millionaires Tanzania

Inakuwaje wanaJF!

Kuwa Dollar Millionaire siyo mchezo naweza sema ni bahati ndio maana ni wachache sana. Wee fikiria nchi yenye watu million 60 halafu kati ya hao ni 450 ndio dollars millionaires siyo mchezo Aisee ni wakupongezwa.

Nimeshangazwa na hawa kuwa dolls millionaires nawapa pongezi sana.

1. Hamisa Mobeto 1-5 Millions US $
2. Irene Uwoya 1-5 $ millions US $
3. Wema Sepetu 1-5 millions US $
4. Wolper 1-5 millions US $
5. Harmonize 1.5 millions US $

Hongera na big up.

Diamond 5 millions $
Ali Kiba 5 millions $

Source: Google search
Tanzania act nyingi Sana hao wote wakifa mali zinapotea siku wanayokufa yaani wanaishi maisha ya kuigiza kuliko uhalisia wa maisha yao halisi.uongo huwa unawahi kusikika kuliko ukweli muda utakuja kuongea tu.mungu yupo kikubwa pumzi atujalie.
 
Yaani Hamisa Mobeto awe na ma$$$$ yote hayo halafu kila siku awe anakwenda kwa waganga kumroga diamond ili aumiss uchi wake
 
Inakuwaje wanaJF!

Kuwa Dollar Millionaire siyo mchezo naweza sema ni bahati ndio maana ni wachache sana. Wee fikiria nchi yenye watu million 60 halafu kati ya hao ni 450 ndio dollars millionaires siyo mchezo Aisee ni wakupongezwa.

Nimeshangazwa na hawa kuwa dolls millionaires nawapa pongezi sana.

1. Hamisa Mobeto 1-5 Millions US $
2. Irene Uwoya 1-5 $ millions US $
3. Wema Sepetu 1-5 millions US $
4. Wolper 1-5 millions US $
5. Harmonize 1.5 millions US $

Hongera na big up.

Diamond 5 millions $
Ali Kiba 5 millions $

Source: Google search
Nilishangaa sana nilisearch wasanii matajiri afrika masharti nikakutana na mtandao flani eti Pro Jay namba 4. Nikasema kumbeee
 
Kuna sehemu ni mpaka 800M
Naunga mkono hoja….nadhani wanaobisha hawana exposure ya biashara za nyumba na viwanja vya mjini….Nakumbuka kuna site iliuzwa maeneo ya sayansi/makumbusho kwa 500mil after negotiation...bei ya kuanzia ilikuwa 800m.
 
Hapa na wewe ume danganya japo na yeye katuweka ila wewe unakawivu fulani kifupi wapo
wataje hao mamillionaire N.B millionaire kwa fedha zetu za kitanzania ni utajiri wa mali zaidi ya shilingi bilioni mbili na milioni maia nne
 
Back
Top Bottom