Hongera sana Katambi,ulistahili Zawadi hii

Rose Mayemba

JF-Expert Member
May 7, 2012
721
1,017
Pokea Zawadi Kaka, mtukufu aliipenda sana kazi yako.
Patrobass Paschal, Patrobass Katambi.

Sasa umekuwa Mhe Mkuu wa wilaya Makao makuu ya Tanzania, umekuwa Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama katika wilaya yako, Umepewa rungu la kukamata na kusweka ndani viongozi wa upinzani pindi watakapokuwa kinyume na Mhe Rais.Si kazi ndogo,unastahili pongezi

Umeifahamu CCM kwa undani wake kwa muda mfupi sana ndio maana ukapewa nafasi hii nyeti, wanaccm wenzako wamesota miaka na miaka hawajabahatika kukalia hicho kiti. Nakupongeza sana Kaka

Sasa umewafungulia njia wachumia tumbo wenzako,Ongeza ushawishi waondoke mapema kabla nafasi hazijaisha.
UKAWE NA UTUMISHI MWEMA HUKO UENDAKO
 
Hakuna kitu kibaya kama kupongeza huku roho inakuuma
 
siwezi kuumia,sina sababu ya kuumia kwasababu sina njaa Kama wao
Dada Rose kweli umeumia. Mbona Lowasa alipoteuliwa hakuja na mada hapa jf? Vip kuhusu kuteuliwa kwa Ester Bulaya ubunge Bunda licha ya kura zake kutotosha? Vp kwa Lembeli mbona hukuja na maada hapa jamvini tukajadili? Vip kuhusu ubunge wa viti maalumu wa Gekul kule babati. Mifano ni mingi sana Roho nzuri huanzia nyumban tofauti na hapo ni unafiki dada!
 
Heko katambi ulifanya uamuzi wa busara kuja upande huu. Tunakutakia mafanikio ktk kulijenga taifa
 
Pokea Zawadi Kaka, mtukufu aliipenda sana kazi yako.
Patrobass Paschal, Patrobass Katambi.

Sasa umekuwa Mhe Mkuu wa wilaya Makao makuu ya Tanzania, umekuwa Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama katika wilaya yako, Umepewa rungu la kukamata na kusweka ndani viongozi wa upinzani pindi watakapokuwa kinyume na Mhe Rais.Si kazi ndogo,unastahili pongezi

Umeifahamu CCM kwa undani wake kwa muda mfupi sana ndio maana ukapewa nafasi hii nyeti, wanaccm wenzako wamesota miaka na miaka hawajabahatika kukalia hicho kiti. Nakupongeza sana Kaka

Sasa umewafungulia njia wachumia tumbo wenzako,Ongeza ushawishi waondoke mapema kabla nafasi hazijaisha.
UKAWE NA UTUMISHI MWEMA HUKO UENDAKO
Mkuu wa kamati ya ulinzi na usalama, halafu wafanye fyoko fyoko ktk makao makuu ya nchi, jamaa atawaonyesha kilichomfanya kanga akose manyoya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom