Hongera Sana John Mnyika

Jk hana option nyingine zaidi ya kuruhusu nguvu ya umma ifanye kazi. Apende asipende, katiba mpya ni haki ya watanzania. Hana namna yoyote ya kuzuia mabadiliko labda kama ana hamu na The Hague.


.
 
Katiba mpya ni muhimu sana, ni kweli katiba mpya itabeba mambo mengi kutoka katika katiba ya sasa lakini itaongezewa vifungu vingine vingi vipya katika sehemu nyingi ya vifungu vya sasa. Hii ni kutokana na uzoefu tulionao kwa watawala wetu kutumia "loop holes" zilizopo kwenye katiba ya sasa vibaya.

Kutisema tuweke viraka si rahisi kugusa kila kipengele cha katiba ya sasa. Katika kuandika mpya, kipengele kisicho na kasoro kitabakishwa!

Mfano: Umesikia leo eti tume ya maadili inalalamika kuwa viongozi hawajaorodhesha mali zao, hivyo wanapanga kuwashitaki kwa Spika na Rais. Hapa ndipo tunataka katiba mpya irekebishe mambo madogo kama haya. Ukiweka viraka hutakumbuka kugusa vitu kama hivi!

Tumeona matunda ya katiba mpya kwa majirani zetu Kenya!

In simple language ni hivi kubadili katiba ya sasa au kusema mpya ina maana tunataka kubadili the whole governance style kama Kenya walivyofanya na maana hiyo kuteua na subordinates wa raisi kama magovenors ambao wapo regional and so forth, to do with federal constituions.

Mfumo wa 'federal' ni kwa ajili ya nchi ambazo azina a shared ideology of things sehemu zenye ukabila au hata values. Kwingine ni India iliyokua chini ya uingereza Ingawa walijaribu kuifanya hiwe na governance style kama ya waingereza hila ilishindikana kutokana na different ideologies within India.

Na Mpaka leo unaona bado kuna matatizo sehemu zingine za India, the last one was last week kuna state huko watu wametandikana na polisi kudai maendeleo yao yanakuja lakini locals awafaidiki hila wageni kutoka sehemu zingine za India ndio wanapata ajira. Au ukitaka extreme example ni Pakistan ambayo ilikuwa chini ya India kabla ya uhuru hila at the end it was too much of a burden to the state of India in terms of achieving piece and govening the state properly ndio maana waka achiwa wajitenge.

Sasa sisi huko tumeshapita tatizo hilo, mfumo wetu wa uongozi ni perfect to suit our unification of society, hila tunatatizo la nguvu za juu kwa hivyo chochote tutakachoandika kubadilisha ni kipya lakini kama atubadilishi namna ya governance kwenda federal ina maana hiyo si katiba mpya bali ni viraka hata vikiwa karibu mia moja.

Ndio maana huwa kwanza wanakuwa ma-experts kutoa mapendekezo halafu yanafanyiwa kazi na bunge au namna mnayo itaka. Ma expert lazima wahakikishe ya kuwa namna ya katiba mpya zinazuia mizozo as much as possible (trust me kuna namna nyingi mizozo inaweza tokea kwenye jamii), na so far ni namna mbili zilizopo za katiba either 'federal' or 'unitary' na kila nchi ina little differences kwenye katiba zao despite ya mfumo wanaoutumia.

Kwa sababu katiba ni maandishi ambayo binding yake lasts as long as the context of it's written time. Na sisi yetu imepitwa na wakati authoritarian regime ya Nyerere inapotea na sasa tunavyama vingi hivyo la msingi ni kusema sasa the 'fusion of power' governance style is also outdated and we need visible limitatons of the president and the executive hayo tu ni mambo yatakayoleta mabadiliko mengi kwenye katiba lakini at the end si mpya unless una adapt mfumo mpya wa kuongoza kama Kenya (wao yao sababu ilikuwa ukabila sisi Je)?.

Siku Njema.........
 
JJ...hongera sana nimekusikia kwenye mjadala wa katiba BBC... ninashukuru tena kwa kutoa taswira halisi juu ya umuhimu wa katiba na kwa vile BBC inasikika sehemu nyingi hapa nchini basi wanachi wengi hata wasiojua chachu tuliyonayo kuhusu katiba mpya sasa wameipata..... nahitimisha kwa kusema kwamba..... mwisho wa siku utakuwa mwalimu kwa wale watanzania wazalendo waliokua wamenyimwa uwezo na nafasi ya kujua katiba ni nini na mahusiano yake na maendeleo......

angalizi.... kuna mtu alijiita mkereketwa wa CCM bwana Mhina..... sasa nimeshagundua nini maana ya CCM na wana harakati wake..... kwani uhuru wa kutoa maoni sio ustadi wa kupata ubwana wa kisiasa...... ondoa ujinga kwa kutoa mawazo yanayojenga
 
MIMI PIA NAMONGEZA SANA MHESHIMIWA MNYIKA. HOJA YANGU NI KUWA KUKAA KIMYA HAKULETI MABADILIKO BALI KUSEMA NA KUJIPANGA VIZURI KUELIMISHA WENGINE AMBAO HAWAWEZI KUSOMA MITANDAO KAMA HII NDIKO KULETAKO MADADILIKO YA KWELI.:whoo:
 
JK anatekeleza exactly alichokuwa anakihubiri Dr Slaa wakati wa kampeni kuhusu mchakato wa katiba kuanza ndani ya siku 100. JK kaanza siku ya 61!
CCM na vibaraka wake kama kina Mbatia walimbeza Dr lakini ebu angalia kinachoendelea sasa!

Mkuu unamaanisha Mbatia wa NCCR MANUNUZI?
 
labda na sisi tubadilike kidogo tuwe wa kweli na sio kusifia wachadema tuu kila mara ;;nafikiri kila jambo lina wakati wake na huu ni wakati wa katiba mpya upepo huo hauzuiliki hata kama mnyika angekaa kimya,mbona haya mapambano yapo muda lakini sasa yamewashinda na wameamua kusaliti amri mimi naamini huu ndio wakati wake hata kusingekuwa na chadema wala mnyika

mwishowe tuseme hakuna kumshukuru mola kila kukicha kwa sababu ata afanyeje kungekucha! Naunga mkono hoja!
 
msajili wa vyam JOHN TENDWA NI CHADEMA?? MTIKILA NA MTATIRO NI CHADEMA?DONT FORCE supiriority it has to come itself hili ni jambo la watanzania tena ulkiangalia vizuri CHADEMA tumelidandia kwa mbele tuuu,au hujui nini??

kwa sababu mtatiro ndo alituhaidi katiba mpya au kwa sababu Tendwa alisema baada ya uchaguzi ntamwambia jk alete katiba mpya au mtikila alisema ndani ya siku flan ntawapa katiba mpya?! Kajipange mkuu usitake kuziba shimo la panya kwa kipande cha mkate.
 
Jk hana option nyingine zaidi ya kuruhusu nguvu ya umma ifanye kazi. Apende asipende, katiba mpya ni haki ya watanzania. Hana namna yoyote ya kuzuia mabadiliko labda kama ana hamu na The Hague.
.

Mkuu hii ni Funga Kazi---Hapo Pekundu.
 
Back
Top Bottom