Hongera sana Halima Mdee, umeitimiza ahadi yako ya Chasimba! Umemaliza, umefunika!

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,122
2,000
Jana ilikuwa ni sikukuu kwa wakazi wa Chasimba ambao walikuwa kifungoni kwa zaidi ya miaka 15!

Halima Mdee mwaka 2010 akawapa ahadi kuwa funguo za kuwatoa kifungoni atazipigania hadi azipate!

Anna Tibaijuka akajaribu sana kuweka vikwazo Halima hakuchoka! Hatimaye akaja Lukuvi ndipo Halima akaanza naye moja! Jana mguu kwa mguu gari kwa gari Lukuvi na Halima wakatua Chasimba wakaifanya siku ya jana kuwa sikukuu kwa wanachasimba! Wakakesha wakifurahi baada ya kuambiwa kuwa ardhi ni yao. Sasa Halima amemaliza kazi yake nzito!

Hongera sana kamanda "Wengi hunena ila waungwana hufanya matendo"
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,916

Kama Mdee kamaliza kila kitu na Waziri Lukuvi alienda kufanyaje?
 
Rooney

JF-Expert Member
Jan 16, 2015
3,790
2,000
kwaio kaz yake ilikua hko porini tu,,,embu njoo mbez,unaweza ukalia ukasema hku hamna mbunge.....mahaba yko usfanye umsifie tu,kna sehem hawatak hta kumskia
 
Credible Viewer

JF-Expert Member
May 22, 2015
444
0
Kama Mdee kamaliza kila kitu na Waziri Lukuvi alienda kufanyaje?

We Ritz kwani kazi ya mbunge ni nini!? Anyway hata kama unajifanya hamnazo tutaendelea kuwabadirisha tabia! Waziri Lukuvi alienda kama Mwakilishi wa Serikali na mtoa maamuzi ya mwisho akiwa kama Waziri wa Ardhi! Unajingine!?
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
43,089
2,000
Wakazi wa chasimba wamefurahi kweli kweli Hongera Lukuvi na Mdee wote kwa pamoja kwa kazi nzuri,Lukuvi amemgalagaza kabisa Tibaijuka na sijui kama Mama wa hela za mboga atarudi bungeni tena.
 
mamseri

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
708
500
Tumpe hongera zake kwa kweli wabunge wa upinzani wanawapigania sana wananchi. Hongera sana kamanda
 
Chademakwanza

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
6,346
1,225
Jana ilikuwa ni sikukuu kwa wakazi wa Chasimba ambao walikuwa kifungoni kwa zaidi ya miaka 15!

Halima Mdee mwaka 2010 akawapa ahadi kuwa funguo za kuwatoa kifungoni atazipigania hadi azipate!

Anna Tibaijuka akajaribu sana kuweka vikwazo Halima hakuchoka! Hatimaye akaja Lukuvi ndipo Halima akaanza naye moja! Jana mguu kwa mguu gari kwa gari Lukuvi na Halima wakatua Chasimba wakaifanya siku ya jana kuwa sikukuu kwa wanachasimba! Wakakesha wakifurahi baada ya kuambiwa kuwa ardhi ni yao. Sasa Halima amemaliza kazi yake nzito!

Hongera sana kamanda "Wengi hunena ila waungwana hufanya matendo"

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/867450-serikali-ya-ccm-yashindwa-hoja-na-halima-mdee-3.html
 
Credible Viewer

JF-Expert Member
May 22, 2015
444
0
kwaio kaz yake ilikua hko porini tu,,,embu njoo mbez,unaweza ukalia ukasema hku hamna mbunge.....mahaba yko usfanye umsifie tu,kna sehem hawatak hta kumskia

Hata manabii hawakukubalika na watu wote! Istoshe Kwa sisi Wakristo tunaamini kuwa Yesu alijitambulisha kwenye kijiji chao kuwa yeye ni Mzawa ambaye ni Mfalme wao, ndugu zake mwenyewe Yesu Kristo ambao ni Wayahudi wakakataa kumkubali! Kwahiyo Nabii hatambuliki katika kijiji chake mwenyewe!
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,916
2,000
We Ritz kwani kazi ya mbunge ni nini!? Anyway hata kama unajifanya hamnazo tutaendelea kuwabadirisha tabia! Waziri Lukuvi alienda kama Mwakilishi wa Serikali na mtoa maamuzi ya mwisho akiwa kama Waziri wa Ardhi! Unajingine!?
Sasa kama ni hivyo kila mmoja katimiza wajibu wake sasa inakuaje mnasema Mdee afunika kafunika nini? Halafu kwani Lukuvi naye hamjasema kafunika?
 
BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,521
2,000
Jana ilikuwa ni sikukuu kwa wakazi wa Chasimba ambao walikuwa kifungoni kwa zaidi ya miaka 15!

Halima Mdee mwaka 2010 akawapa ahadi kuwa funguo za kuwatoa kifungoni atazipigania hadi azipate!

Anna Tibaijuka akajaribu sana kuweka vikwazo Halima hakuchoka! Hatimaye akaja Lukuvi ndipo Halima akaanza naye moja! Jana mguu kwa mguu gari kwa gari Lukuvi na Halima wakatua Chasimba wakaifanya siku ya jana kuwa sikukuu kwa wanachasimba! Wakakesha wakifurahi baada ya kuambiwa kuwa ardhi ni yao. Sasa Halima amemaliza kazi yake nzito!

Hongera sana kamanda "Wengi hunena ila waungwana hufanya matendo"
Kiwanda kina hati tangu mwaka 1969,wananchi wamevamia miaka ya 1990,tuwe makini sana na maeneo tunayo miliki kwani wavamivi wameshaona kuwa watakuja tetewa na wanasiasa.Swali ule moshi wa kiwanda hautakua na madhara kwa wananchi waishio pale chasimba?
 
MAFILILI

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
2,371
2,000
Sasa kama ni hivyo kila mmoja katimiza wajibu wake sasa inakuaje mnasema Mdee afunika kafunika nini? Halafu kwani Lukuvi naye hamjasema kafunika?

Tuwape pongezi wote kwa kuwa na nia ya dhati ya kuwasaidia wakazi wa Chasimba pasipo kujali tofauti zao za itikadi; "HONGERENI LUKUVI NA MDEE"
 
KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,307
2,000
Sasa kama ni hivyo kila mmoja katimiza wajibu wake sasa inakuaje mnasema Mdee afunika kafunika nini? Halafu kwani Lukuvi naye hamjasema kafunika?
Kwa iyo kati ya Mayweather na Paquao, wote ni washindi?
 
Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
42,916
2,000
Lukuvi na Halima Mdee wote nawapa pongezi kubwa kwa kutatua huu mgogoro wa ardhi Chasimba.
 
QALLI MIZOH

JF-Expert Member
Mar 19, 2014
2,075
1,250
Sasa kama ni hivyo kila mmoja katimiza wajibu wake sasa inakuaje mnasema Mdee afunika kafunika nini? Halafu kwani Lukuvi naye hamjasema kafunika?

Lukuvi kaona mapema mafuriko yanayokuja October ..!
Kaufyata ..!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom