Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,829
- 43,276
Wana jamvi Wasalaam!
Hakuna ubishi kuwa Halima na Ester ni wabunge mahili na wenye mshikamano ulio pitiliza ndani ya UKAWA hata kabla ya UKAWA!
Halima na Ester pamoja kuwa na ujasiri wa kujenga hoja popote pale pia wana mvuto wa pekee kwenye uwezo wao wa kusimama pamoja katika kila jambo! Na kwa umoja wao wamekuwa kivutio cha wananchi wengi na wengine wamekuwa wakidhani ni ndugu wa damu maana wamekuwa na upendo wa pamoja tena ule uliopitiliza!
Ni wazi kabisa kwenye mafanikio ya Mdee basi nyuma yake yupo Ester na kwenye mafanikio ya Ester nyuma yake yuko Halima Mdee!
Jana baada ya Halima kupata dhamana Ester alishindwa kuficha hisia zake na kuonesha furaha na upendo wake kwa Halima.
Ni vyema wabunge wengine wakaiga mfano wa Ester na Mdee hasa kwenye mshikamano.
Picha kwa hisani ya gazeti la Mwananchi!