Hongera sana dada yetu Blandina Nyoni(the Iron Lady) kwa kuisafisha NHC

Huyu mama alikuwa ni moja ya mafisadi wakubwa wa awamu ya nne na kama kuna mwana lumumba anayekana ajitokeze humu

Mbona kwenye list of shame hakuwepo Kama alikuwa ni Fisadi Papa? Tatizo lenu wakihamia huko mnadai Kama ni Mafisadi uletwe ushahidi ?
 
Blandina Nyoni ndio alikuwa Mhasibu Mkuu wa Serikal kabla ya Hajjat Mwanaidi Mtanda!

Enzi zao walichota pesa Kwmy Mifuko ya Rambo kupeleka Nyumbani
Hongera zake kwa kuokoka na kuwa Mzalendo
Duh! Hamchokozwi? Naona Makaburi yanafukuliwa tu!:D:D:D
 
Kila ulipopita ulifanya kazi ya kizalendo.Safisha NHC BILA HOFU.Usiogope kuchukiwa. Fanya maamuzi kwa wakati, ili wananchi walalahoi wanufaike na NHC kwa kupata nyumba za bei nafuu. NHC kulikuwa na giza nene. Tunataka NHC irudi kuhudumia wananchi wa kawaida. Ndiyo lengo lake la mwanzo. Sasa NHC wanakopa fedha kwaajili ya kuhudumia matajiri. NHC mabadiliko hayaepukiki.
Usilolijua ni sawa na Usiku wa kiza, wewe unamfamu vizuri huyo mama au unaandika tuu?

Huyu mama si ndio alikua na tuhuma lukuki wakati alipokua katibu mkuu wizara ya afya awamu ya nne? Unaelewa ni kwanini madaktari walimkataa kabisa huyo mama ili wasitishe mgomo wao?

Je, unajua kua kulikua na tuhuma kua huyu mama ndio walishirikiana na aliyekua Mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya taifa Muhimbili Dr Njelekela class mate wake walifanya nn?

Unajua Mali binafsi anazomiliki huyo mama au unaandika tuu?

Haendani kabisa na kizazi cha hapa kazi tuu nikuambie.
 
Kila ulipopita ulifanya kazi ya kizalendo.Safisha NHC BILA HOFU.Usiogope kuchukiwa. Fanya maamuzi kwa wakati, ili wananchi walalahoi wanufaike na NHC kwa kupata nyumba za bei nafuu. NHC kulikuwa na giza nene. Tunataka NHC irudi kuhudumia wananchi wa kawaida. Ndiyo lengo lake la mwanzo. Sasa NHC wanakopa fedha kwaajili ya kuhudumia matajiri. NHC mabadiliko hayaepukiki.

Kwani huyo Blandina mda wote alikuwa wapi? Mbona hakuchukua hatua? Mpaka leo JPM amewakoromea NHC ndo anaamka? na bila aibu unasema eti ni maamuzi magumu??

All I can assure you, huyo mama hana mda tena atatumbuliwa kwa aibu! Nothing personal against her, Lakini mimi nadhani inabidi atumbuliwe tuu. Yaaani madudu yoooote ya NHC hakuyaona mpaka JPM alivyosema? Na bado unadiriki kumuita iron lady?? Muwache utani kwenye mambo serious jamani.
 
Mbona Mnasema lowasa fisadi na ilhali hamjampeleka mahakamani
Tuliambiwa na chadema
tapatalk_1467191665027.jpeg
 
kwa coments hizi....hapa jamii forum...sizan kama blandina utabaki salama...TAKUKURU kama mpo huku anzen uchunguz wenu mapema....
 
Kweli nakumbuka kumsoma humu.

Huyu kuwa akiona wengine wanapiga madili bila yeye kuwekwa anawamaliza.

Lazima nae yumo kwenye haya ya viongozi wote hao.

Yaani baby leo umeanza kukiponda chama chetu pendwa CCM!!

Ata siamini yani
 
Kila ulipopita ulifanya kazi ya kizalendo.Safisha NHC BILA HOFU.Usiogope kuchukiwa. Fanya maamuzi kwa wakati, ili wananchi walalahoi wanufaike na NHC kwa kupata nyumba za bei nafuu. NHC kulikuwa na giza nene. Tunataka NHC irudi kuhudumia wananchi wa kawaida. Ndiyo lengo lake la mwanzo. Sasa NHC wanakopa fedha kwaajili ya kuhudumia matajiri. NHC mabadiliko hayaepukiki.
Hahaaa huyu walewale alikula wizara ya afya mpka akasababisha mgomo
 
Blandina Nyoni ndio alikuwa Mhasibu Mkuu wa Serikal kabla ya Hajjat Mwanaidi Mtanda!

Enzi zao walichota pesa Kwmy Mifuko ya Rambo kupeleka Nyumbani
Hongera zake kwa kuokoka na kuwa Mzalendo
Mbona haguswi au ndiyo ile mupe muruke style

Ova
 
Mbona haguswi au ndiyo mupe muruke style aka double standard

Ova
Blandina Nyoni ndio alikuwa Mhasibu Mkuu wa Serikal kabla ya Hajjat Mwanaidi Mtanda!

Enzi zao walichota pesa Kwmy Mifuko ya Rambo kupeleka Nyumbani
Hongera zake kwa kuokoka na kuwa Mzalendo
 
Kila ulipopita ulifanya kazi ya kizalendo.Safisha NHC BILA HOFU.Usiogope kuchukiwa. Fanya maamuzi kwa wakati, ili wananchi walalahoi wanufaike na NHC kwa kupata nyumba za bei nafuu. NHC kulikuwa na giza nene. Tunataka NHC irudi kuhudumia wananchi wa kawaida. Ndiyo lengo lake la mwanzo. Sasa NHC wanakopa fedha kwaajili ya kuhudumia matajiri. NHC mabadiliko hayaepukiki.
Acha ufala...kwahiyo Nehemiah hajafanya lolote? Shirika lilikuwa ICU hilo
 
Back
Top Bottom